FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Watani naona morali yenu imepoa kama chai ya baridi

Mna shinda mpaka ina waboa
 
Inasikitisha sana kiongozi... King Ilitakiwa apate wenye kiwango kama wakina asensio, sane, moh salah and Dybala...tim kwa sasa haifanyi vizuri...na Messi asipowepo ndio wanapoteana kabisa.
Braza si ulisema jamaa ana ibeba tim na anaweza


Pole bro
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…