hivi ndivyo huwa ukiamua kucheza game ya kujilinda. Napenda huyu kocha awe sacked. Huwezi wachezesha game ya kujilinda watu waliozoea kuattack miaka na miaka.
Aiseee...inasikitisha sana kuwa na kocha Wa ajabu kama huyu. Team ilihtaj Ku place high bado anacheza defensive game. Huu ni upuuz kabsa. Team imecheza hovyo kabsa.
Velverde mentality ya team ndogo bado haijamtoka kabisa kichwani inatakiwa aambiwe Barca ni team kubwa ina muscles financially na kimpira we opt for better plans za ushindi sio ku defend tu
This is shame