FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hahahah
Messi kawahi kufunga magoli safi kavsa sijawahi kataa. Lakini haiondoi thamani ya magoli ya walio piga penalt ndio point yangu hiyo.

Pele angefunga goli hata 1 la vichochoroni FIFA isinge litambua, kama ambavyo ilifanya kwa Romario
 
Chelsea ya 2012 ambayo ilimaliza ya 3 kwenye ligi?

Sasa iliishiaje nafasi ya tatu kama walikua vizuri na wangeweza kuifunga team yoyote?

Messi ni top scorer wa el classico, sasa nikisema Madrid ni kibonde wake simsingizii.

Iwe amefungia bernabeu au camp nou, still Madrid ni kibonde wake!



I know it hurts!
 

Huo mwaka 270 BC ulikuwepo? Unaweza kututajia wachezaji wa miaka hiyo?

Sisi tunazungumzia kwanzia kipindi cha akina pele mpaka 2018. Wa kabla yake hatuwajui na pengine soka lilikuwa halijaanza hata kuchezwa..so MESSI atabakia kuwa mchezaji bora kuwahi kutoa katika hii dunia,, na hilo unalitambua sana except humpendi tu.
 
Sasa una niunga mkono, kwa kuwa sote hatukuepo usiseme hajawahi tokea unlesa unawajua wote walio wahi tokea.
Wakati wa Pele wenyewe ulikuepo? Huna rekod za kutosha za kumchambua pele hata kdogo.
Ndio maana nasema nyie semeni mnampenda Messi na mnaona ni mchezaji bora kwa sasa.
Mimi pia namoenda Cr 7 na nadhani he is way better than Messi ila sjawahi weka blasphemy kama zenu.
 
Achana na Chelsea iliyo anza msimu naongelea chelsea ilyo watoa Barcelona nusu fainali ya UEFA. Walianza vibaya walimaliza msimu vzuri. Kwenye ligi nadhani walishika u sita kabsa ila walichukua UCL na FA na hata nyie waki wanyoa na Messi hakutia goli pale.

Sawa lets say Madrid ni kibonde wake, so what?

It doesnt hurt at all.
 
Come on man I feel your pain!

Naona atletico wanawakomalia hapa, mtapata point kweli?
 
Ameifunga chelsea ambayo hata Burnley wali ifunga

Amemfunga Biffoni katika mwaka wake wa mwisho kabsa wa kuondoka.

Ni kweli kawafunga lakini kawakuta wakiwa wadhaifu
Messi ndiye mfungaji aliyezifunga Mara nyingi timu zote kubwa kwenye La Liga kitu ambacho Ronaldo ataendelea kuota tu
 
Messi ndiye mfungaji aliyezifunga Mara nyingi timu zote kubwa kwenye La Liga kitu ambacho Ronaldo ataendelea kuota tu
Messi alikuwepi La liga toka ana zaliwa braza. Yaan hata hujafikiria hii kitu
 
Ameifunga chelsea ambayo hata Burnley wali ifunga

Amemfunga Biffoni katika mwaka wake wa mwisho kabsa wa kuondoka.

Ni kweli kawafunga lakini kawakuta wakiwa wadhaifu
Naye pia wamemkuta akiwa mdaifu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…