Unaharibu mkuu, discussion za mchezo hazitak panicing. Nilikuwa nakusahihisha kitu ambacho ulikosea. Hisia zako zinakutuma yeye ndio mchezaji bora, ila si lazima wote tuseme hivo na si kweli ni hisia tuu.Huo ni mtazamo wako. Usitake kutulazimisha wote tuwe na mtazamo wa mlengo wa ki feki feki. Hayo kawalopokee kwenye Uzi wenu huko.
Nani kakwambia washabiki wote wa Barcelona tupo Argentina. Ukiwa mgeni wa mambo uliza. Messi anaisaidia sana Argentina, Tena sana. hivi juI ilikuwa kidogo isiiende Russia lakini jamaa singlehandedly kaivusha. Kaifikisha timu yake fainali. Amechukua uchezaji bora wa world Cup, asingechukua kama angekuwa haisaidii timu yake. yaani wewe mtu kuisaidia timu mpaka achukue kombe la dunia au la bara?
Ronaldo alikuwa anamfunga Buffon toka kitambo, ila Messi ndio alikuwa hajawahi mfunga mpaka kavizia mwaka wake wa mwisho ambao jamaa hayuko njema.Kumbe wakati mnashangilia bicycle kick mlikua mmesahau kwamba Buffon amechoka?
Tatizo huna hoja za msingi. Umesema kawafunga Chelsea na Buffon aliyechoka. Mantiki iko wapi hapo ? 7bu zako hazina mashiko maana wingi wa magoli aliyonayo ni uthibitisho tosha kwamba si kweli kwamba ubovu wa Chelsea/Buffon ndo 7bu pekee ya kuwafunga.Unatoka nje mada hapo, nimeongelea ishu ya Chelsea na Buffon. Ambayo nimekubali kuwa finally kawafunga lakini wakiwa weak.
Unaongelea magoli jero
Mbona Cr 7 ana magoli 600 na ziad, Pele ana magoli 1000 whats so special about Messi mwenye jero?
Hata sisi tunaposema Messi kamfunga Buffon wala hatuongelei habari za mwaka wa mwisho wa Buffon. The records shall stand!Ronaldo alikuwa anamfunga Buffon toka kitambo, ila Messi ndio alikuwa hajawahi mfunga mpaka kavizia mwaka wake wa mwisho ambao jamaa hayuko njema.
tulishangilia Bicycle Kick kwa kuwa ni special style wala hatuku comment llte kuhusu Buffon.
Zlatan alipiga BK wakati golini hakuna kipa yet ilikuwa goal of the year, yaan BK ni special no matter what bros
Cha ajabu media hazijakuonyesha unavyozipiga...... nenda kaoge mkuuThats him upande wa pili bila media hamna kitu kabisa...Tick taka hata mimi mtaani huku napiga
Huna jipya, hata kama uwe umezaliwa 270BC. Tuliza ball tu Mzee timu feki feki.Unaharibu mkuu, discussion za mchezo hazitak panicing. Nilikuwa nakusahihisha kitu ambacho ulikosea. Hisia zako zinakutuma yeye ndio mchezaji bora, ila si lazima wote tuseme hivo na si kweli ni hisia tuu.
Soka ilianza kuchezwa mwaka 270 BC, huwezi form no where ukasema Messi ndio bora kwa time yote.wakat umeazaliwa mwaka 1990 or 80 or 70 unatumia hisia tu hapo.
Special style kwako! Magoli ya bicycle kick yapo lukuki tu.Ronaldo alikuwa anamfunga Buffon toka kitambo, ila Messi ndio alikuwa hajawahi mfunga mpaka kavizia mwaka wake wa mwisho ambao jamaa hayuko njema.
tulishangilia Bicycle Kick kwa kuwa ni special style wala hatuku comment llte kuhusu Buffon.
Zlatan alipiga BK wakati golini hakuna kipa yet ilikuwa goal of the year, yaan BK ni special no matter what bros
Wakuu mnahama hama mada sana jikuteni sehemu moja basi.Hata sisi tunaposema Messi kamfunga Buffon wala hatuongelei habari za mwaka wa mwisho wa Buffon. The records shall stand!
Hizi bicycle kick hata lukaku anapiga.
You guys will always find excuses!
Yani unamshangaa Messi aliepiga hatrick el classico kuifunga Chelsea, eti unasema Chelsea wamechoka?
Kwahiyo Chelsea hua wako vizuri kumshinda Madrid sio? Maana nyie hua anajipigia akijisikia!
Kumbe wakati mnashangilia bicycle kick mlikua mmesahau kwamba Buffon amechoka?
Hivi bado mapovu ya mlenda yanawatoka watu kuhusu BK ya Cr7 mbona goli la kawaida sana, haya mapovu ya mlenda yanasadifu ubora wa goli......
Swali langu ni je, hao Chelsea hua wako vizuri kuwashinda nyie Madrid?Wakuu mnahama hama mada sana jikuteni sehemu moja basi.
Ishu ya chelsea na Buffon mmeanzisha wenyewe, alikuwa hajawahi wafunga toka azaliwe, ndio kawafunga, kwani nani ambaye hamfungi chelsea sku hizi!? Chelsea ni mbovuu.
Buffon kazeeka so wala sio shda.
Lukaku hajawahi funga BK umedanganya umma.
Messi kaifunga Madrid amewahi kwa hiyo sipingi hilo
Eeh yako mengi ila hayako Mengi kama magoli ya kichwa au ya stail zengine kwa kuwa ni special goalsSpecial style kwako! Magoli ya bicycle kick yapo lukuki tu.
Chelsea hawako vizuri kuwashinda Burnley watakuwaje vizuri kuishinda Madrid bhanaa!Swali langu ni je, hao Chelsea hua wako vizuri kuwashinda nyie Madrid?
Penalti ni goli vile vile braza, haimshushii mtu thamani ya goliWanaumia sana kuona Messi anazisaidia timu zake,, kwa upande wa magoli pia wanaumia sana kuona akifunga magoli mazuri ambayo kwa mchezaji mwingine ni nadra sana. Siku ukisikia ronaldo kapiga hattrick ujue ndani yake kuna mipenalties. Wakati Messi Freekick kwake kama Penalties😀😀😀😀
Hatuja kataa hadi Benteke ashafungaAkikujibu nitag...Rooney alishafunga goli kama hilo likaonekana la kawaida tu, ibrahimovich pia...but kafunga jamaa yao juzi limekuwa la maajabu 😀😀😀
Sasa hicho kisingizio cha kusema sasa hivi Chelsea hawako vizuri umekitoa wapi?Chelsea hawako vizuri kuwashinda Burnley watakuwaje vizuri kuishinda Madrid bhanaa!
Hawako vzuro kuishinda Madrid ndio
Unatoka nje mada hapo, nimeongelea ishu ya Chelsea na Buffon. Ambayo nimekubali kuwa finally kawafunga lakini wakiwa weak.
Unaongelea magoli jero
Mbona Cr 7 ana magoli 600 na ziad, Pele ana magoli 1000 whats so special about Messi mwenye jero?
Sasa hiyo ni wewe kazi yako ku review miaka ambayo chelsea alikuwa mzuri sana halaf madrid akawa mbovu. Nakupa mfano tuu. Chelsea ya 2012 kwa style yake ingeweza kuifunga timu yyte.Sasa hicho kisingizio cha kusema sasa hivi Chelsea hawako vizuri umekitoa wapi?
Ni lini walikua vizuri kuwashinda Madrid Wateja wa Messi?