We braza una mfaninsha Cr 7 na Suarez!!!Ronaldo hata alete magoli 100 but ataendelea kuwa mchumba kwa Messi. Hilo mbona liko wazi Sheikh!! Alafu tofautisha kati ya Striker na midfielder ni vitu viwili tofauti kabisa...Cr7 ni striker anapewa anafunga na kazi ya Messi ni attaking midfielder lazima apambane na mabeki ndio afunge kama sio kufunga atatoa assitst kwa wenzie.
Cr7 na Suarez hawa ndio same possessions,,kazi yao ni umaliziaji. Sasa kwanini asiwe na magoli mengi!!
Messi kafunga ngapi?BARCA wamemaliza 4-1
SifuriMessi kafunga ngapi?
Resolute scientific football is result oriented rather then showmanshipWazee mmeshinda lakini this is one of the worst footbal you have played in years!
Denis ni mzuri kuliko Dembele
Barca somewhat bored me today,i thought i was watching Real MadridSijaridhishwa kabisa na ushindi wa leo [emoji23][emoji23]
Kwanini tumeruhusu goli moja?tunatoa adhabu kwa Andres Gomez akae bench mwaka mmoja then Dennis Suarez acheze nafasi yake
Punguza kujaza ma message kwenye Uzi basi, mbona wengine tuko kimya tunasikilizia game kistaarabu tu.
Au ndo kusema wewe unajua sana.
Mdomo huo
Bado goli la messi nikalale
Jamaa ana speed kinomaSemedo amecheza vizuri sana leo congratulations
Pia naona hata varverde ameshalitambua hiloDogo miguu yake ina dhahabu kubwa sana naamini huyu ndio atakuwa heart ya midfield akiwa na little magician moto utawaka
Padri mcharo naona umeamua kufunika kichwa na kuacha makalio waziAngefunga si mngejinyea kabisa makelele humu!!!
Unfortunately Andunje sio CR7
Na stamina pia (ana power san na msuli)Jamaa ana speed kinoma
Alafu anakaba kwa akili kinomaNa stamina pia (ana power san na msuli)
Angefunga si mngejinyea kabisa makelele humu!!!
Unfortunately Andunje sio CR7