FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Messi atafanyiwa farewell ya kutimiza magoli 100 ya UEFA Puyol Carles atakuwepo kumkabidhi
Leo:mpira utakaochezwa inawezekana AC Roma wakagusa mara tano tu au sita kipindi cha kwanza
Nyasi zitaloa maji na zimeshaloweshwa tunatandika mkeka wa pasi
Match confirmation ni Goal AC Roma wanakaa
Messi leo ataibuka na hatrick
 

Hii game imeshaisha
Defence kali halafu S.Roberto no 7 atakua free sana kukunja ma crosses na kucheza wide kule mbele huku mipira akiingiza katikati ambako Messi atakua anaua tu
Thanks coacher tuna wingers kali magoli mengi leo
 
Game ya leo naona kama Paulinho na Dembele wata offer the best the have kuanzia katikati na pembeni upande wa kulia
Good defence kwa Semedo you are real RB
 
Game ya leo naona kama Paulinho na Dembele wata offer the best the have kuanzia katikati na pembeni upande wa kulia
Good defence kwa Semedo you are real RB

Punguza kujaza ma message kwenye Uzi basi, mbona wengine tuko kimya tunasikilizia game kistaarabu tu.
Au ndo kusema wewe unajua sana.
Mdomo huo
 
Leo ni mwendo wa Nyingi tu, yaani nyavu zinacheka tu
 
Wazee mmeshinda lakini this is one of the worst footbal you have played in years!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…