Ukishindwa kumuamin mmeo bx hata hawara hutomwaminMbona unakua kama kindergaten utafuniwe kila kitu ndio uelewe. Nimekuambia foward line yetu ni mbovu na ndio tumeshindwa kutumia vizuri nafasi tulizopata. Liver wao wako vizuri mkikutana nao kuwafunga nyie ni rahisi
Now lets have our only middle fingers standing firmIN 2012 after 36mins, Barcelona were leading 2 goals to nil and John Terry got a red card. At the end it was 2-2.....lets have our fingers crossed
Wote kwa pamoja tuombe...!!Sure hata Mimi namtaka madridiot
Ukishindwa kumuamin mmeo bx hata hawara hutomwamin
Uswaz tunasemaga anatafuta chaka la ku..........Naiona point yako, lakini ni ya kushabiki nadhani kabla ya match ulijua mtashinda. Sasa mlivyo fungwa unatamani barca ifungwe ili machungu ya pungue.
Chelsea ndio mnabeba UEFA mkuuHebu acha vituko wewe. Mkikutana na Juve au Liver wanawatoa nyie. Kombe hamchukui
Na bado ana seasons kama 3 had 4 za kucheza UEFAView attachment 715253
King Leo ,match 123 Goal 100
Kuhusu vilabu vya England; amecheza nao mara 18 na amewafunga goli 20
Still mtu atasema Messi hawezi kucheza EPL ,hua nafurahi sana ignorant wanapojiburudisha na ujinga wao
Eeeh guu lake lina brain ,ila usisahau goli la kwanza alipiga na weak foot (right)Nitoe pongezi kwa wana barcelona wote kwa ushindi mnono mliopata dhidi ya cha mdomo chelsea. Pongezi pia kwa kuingia robo fainali.
Hii ni siri kubwa ambayo timu pinzani hawajaijua.
Kukutana na real Madrid ligi ya mabingwa ulaya ni sawa na kushindana na Ccm uchaguzi mdogo ,hata ufanyike Kilimanjaro kule siha ,Ccm itashinda kwa ushindi wa kishindoJamani tuombe fungeni macho
Eeh Mungu kama ambavyo ulitupatia chelsea hatua ya 16 bora ,vile vile fanya maajabu utupatia Real Madrid kwenye robo fainali Amen
#Forca_Barca
Naomba dua ya kumtia uoga adui
Mama Thoda tulia. Jana hukukunwa na lile libabu lakoWewe ni binti yangu kabisa ester
Kwa hiyo we hawara huaminiki au.?Ukishindwa kumuamin mmeo bx hata hawara hutomwamin
Real Madrid AgainChelsea ndio mnabeba UEFA mkuu