pitch itakuwa kama inakiparafumbi hakuna kuonana. niliona mechi na Malaga Suarez alicheza kikatili, natamani awe kwenye mode hiyo na leo.View attachment 715002
Hii ndo formation nilikua nahitaji kushoto fire. ..kulia moto ,katikati Tornado. ...!!
[emoji460] [emoji460]Gooooaaall! King messi has done it again.
Barca one!
Nimeliona bango hilo...kuna bango lina picha ya Messi limeandikwa God save the king.
Ni kwel . Chelsie wana place high sana..Jamani mechi bado hiii
Kuweni watulivuu
Teh teh tehDembeleeee
Hahahhaaaaa...When messi hv a ball u don't know what next..Kubafu...piga umbwa wale...!
Mamaae!
Nenda kanyebabu kaniambia kwamba barca OUT.
iwe mvuaa au jua au theluji..
BARCA OUT.
Pumbavu sananilitabiri Madrid ingemfunga PSG.
nilitabiri juventus itamfunga spurs
nilitabiri arsenal itamfunga ac Milan
na leo natabiri Chelsea itamfunga barca.
iwe ndani ya 90,au ndani ya 120 au matuta.
barca OUT.
Mpira hauna uchawi *****View attachment 714452
This is what's going to happen tonight. Fucker Uefalona