FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

wakuu mnamuelewa huyu mjinga🙂
nilitabiri Madrid ingemfunga PSG.
nilitabiri juventus itamfunga spurs
nilitabiri arsenal itamfunga ac Milan
na leo natabiri Chelsea itamfunga barca.
iwe ndani ya 90,au ndani ya 120 au matuta.
barca OUT.
 
Yasije tokea km yale ya 1st leg, cheza mpira mkubwa thn wanaotea kigoli kimoja, coz ni nature ya Teams za englnd kwenye big game km hii
 
tukutane uwanjani relax
Wewe jamaa umeshupaliaaaa, tusha kusikia sasa tusubiri mda ndio utasema.
Pia wewe unaonekana ni shabiki wa Madrid + United+ Juve kwahiyo Mawazo yako au maneno yako huenda yakawa ya kishabiki sana. Kama umeota haya basi tusubiri mda ufike tushakusikia
 
Mimi Chelsea.ila kwa sasa nimepumzika kuishabikia.
alaf Mimi nimenyamaza Ila jamaa zako ndo wana ni quote.
 
nilitabiri Madrid ingemfunga PSG.
nilitabiri juventus itamfunga spurs
nilitabiri arsenal itamfunga ac Milan
na leo natabiri Chelsea itamfunga barca.
iwe ndani ya 90,au ndani ya 120 au matuta.
barca OUT.
Wewe kama nani ?shabiki la Madrid hili unadhani ataitakia mema Barcelona ?go to hell leo Fc Barcelona 3-Chelsea 0
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…