FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

huyu Arthur nimecheki highlights zake atatufaa sana. bonge la mid. na zile kampa-kampa tena naona anazijua vizuri. karibu sana Barcelona Arthur Melo
Kila mchezaj ukicheki highlits huwa ana faa
Kuwa mtulivu kwanza
 
Mkuu ila unauona umuhim wa paco, vidal na gomez au sio
 
Mkuu ila unauona umuhim wa paco, vidal na gomez au sio
Hahahaaha mkuu hao ata mimi nikipewa training kwa mda mfupi nawazidi uwezo. Tatizo liko kwenye kuchagua mchezaji ataemrithi Neymar kwenye winga ya kushoto kwa upeo wangu mi naona sio kila mchezaji mzuri anafaa kuchezea Barcelona. Kwa mfano huwezi kumsajili Bale achezee Barcelona mana unaona kabisa hafit kwenye mfumo.
 
Kila mchezaj ukicheki highlits huwa ana faa
Kuwa mtulivu kwanza
Hahaha highlights kila mchezaji wanachukua vipande ambavyo anangara ndo wanavieka ila alivovurunda wanazieka kapuni. Chukua highlights za Delofeu, Vidal, Gomez mkuu uone shughuli yake anavokimbiza.
 
Wazee issue ya Gomez Andres kulia lia na kutia huruma kwenye media jana mnaizungumzaje?eti anasema sometimes hata ndani hatoki anaogopa kuzomewa

Mungu naona anaanza kujibu dua zetu sasa kwanini asijihamishe tu
 
Hahaha mchezaji anaeharibu Barcelona akienda ligi zingine wanamuona lulu yan kama Juma Mahadhi wa Yanga akicheza Ndondo mtaani anavokimbiza. Gomez uyo akienda Man utd, Liverpool hakosi number midfielder pale.
 
kuna vitu special huwa vinaonekana. kwa arthur nimeona anang'ang'ania sana mpira na chenga zake za kuzunguka. ni kitu muhimu kwa MF wa Barca.
Sawa mkubwa
Ila hata Takuma Asano na Yaya Sanogo wana higblights kali sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…