Leo kocha kanifurahisha kapanga kikosi kizuri mno ila tu asije akatutolea Coutinho akamweka Gomez. Kama mie kocha leo baadae namtoa Paulinho namwingiza Vidal alafu Sergi Roberto akacheze nafasi ya Paulinho alafu Vidal acheze beki mbili.Barca vs Malaga tonight View attachment 710765
Ha ha labda laliga la NjombeRonaldo asipochukua kiatu cha laliga naacha kumshabikia tena maisha yangu yote
Barca 2-Malaga 0nilijua game kesho kumbe leo?
Mkuu life style barca wamesha chukua hatua tayari, mm naona anacho kosa sasa ni confidence tu lkn leo anacheza vzr sana mpaka sasaDembele stamina bado kabisa-lifestyle na chakula anachokula kiangaliwe
Vp kiwango chake leo anajitahidi au anarukaruka tu?Natamani Dembele afunge nae lao
Anajitahidi mkuu ameshatoa na assist kwa Cotinho akafunga kwa kisiginoVp kiwango chake leo anajitahidi au anarukaruka tu?
Ok safi sanaAnajitahidi mkuu ameshatoa na assist kwa Cotinho akafunga kwa kisigino
amecheza mpira mzuri sana leo. kaassist na anacreate chances nyingi sana. hata Malaga hivyo ni wadhaifu, hata paulinho anaonekana bonge la MidfielderVp kiwango chake leo anajitahidi au anarukaruka tu?
ananifurahisha anavyoteleza anakuwa kainama flani, humkuti!! kafika 33km/hr!! kama mnyama!!Hahaaaa leo Dembele yuko vzr sana
Mpaka sasa dembele nimemunyooshea mikono[emoji119]Barcelona ya leo ndio mtaona uwezo halisi wa Ousmane Dembele na Philippe Coutinho, naamini leo tutapiga mpira mwingi mno sababu Dembele na Coutinho watakua wanajua lazima wabebe timu leo na hawatakua na pressure maana mda mwingine kucheza na ma superstar kama Messi lazima kitete cha mguu ukipate.
Leo ndio utaona Barcelona ya kushambulia pande zote sio ya kumtegemea mtu mmoja.
Mkuu hii itampa kujiamini sanaamecheza mpira mzuri sana leo. kaassist na anacreate chances nyingi sana. hata Malaga hivyo ni wadhaifu, hata paulinho anaonekana bonge la Midfielder
Coutinho naye kashambulia kikatili sana.Mpaka sasa dembele nimemunyooshea mikono[emoji119]
Leo anawapunguza hadi kanzu kawapiga ame assist coutinho akapiga kisiginoVp kiwango chake leo anajitahidi au anarukaruka tu?
Safi sanaananifurahisha anavyoteleza anakuwa kainama flani, humkuti!! kafika 33km/hr!! kama mnyama!!