Kwenye match ya UEFA na chelsea mbona aliekwa substitute, sema nauliza mkuu kwenye hiyo match na chelsea ulitaka aingie Denis suarez kweli?Anafahamu Denis anatatizo gani anifahamishe maana kocha hamtumii kabisa
Ni kweli nasikia dogo lugha ya Spain anaijuakidogo sana, kitu ambacho kimemfanya awe ana ongea zaidi na Umtti pia Digne kwasababu hawa ni wa Faransa wenzie.Aya wazee twende na Dembele, tayar kocha ametoa green light yakumtumia full 100%
Katika kumsaidia afanye adaptation ya language,mfumo na uwanjani tayari Dembeli amewekewa special menu,translators,cook kutoka kwenye club moja kwa moja
Lets hope second leg na Chelsea ndo awe key player wakuwachekecha mabeki na mwanzo na mwisho wa winger zetu kuwa butu
Namste !!
Mkuu mi nikiona squad Dennis hayupo halaf Semedo hayupo na S. Roberto kapangwa beki badala ya midfielder huwa naangalia mechi kwa shingo upande sanaAnafahamu Denis anatatizo gani anifahamishe maana kocha hamtumii kabisa
Hivi katika dunia ya kwanza hizi sababu ziina hold water kweli??kwa An established star hizi sababu ni ndogo sana-labda tuseme he has not hit the ground running and he still has time on his side,if i am not mistaken hata Neymar first season alikuwa not even ordinaryNi kweli nasikia dogo lugha ya Spain anaijuakidogo sana, kitu ambacho kimemfanya awe ana ongea zaidi na Umtti pia Digne kwasababu hawa ni wa Faransa wenzie.
Pia alikuwa anakula sana fast food kitu ambacho club haikupenda.
Wamekuwa wamekuwa wakitafta sehemu ya kukaa mama yake pia baba ake bila mafanikio, wazazi wake wametengana
Mda husema ukweli, ngoja tuone baada ya kufix hizo shida nini atafanyaHivi katika dunia ya kwanza hizi sababu ziina hold water kweli??kwa An established star hizi sababu ni ndogo sana-labda tuseme he has not hit the ground running and he still has time on his side,if i am not mistaken hata Neymar first season alikuwa not even ordinary
Kama Vidal aliingia kaka kwann Denis asicjezeKwenye match ya UEFA na chelsea mbona aliekwa substitute, sema nauliza mkuu kwenye hiyo match na chelsea ulitaka aingie Denis suarez kweli?
Kuna kitu,Barca kule mbele,wamepoteza ile customary coolness,ya ku interchange passes hence driving opposition defenders in confusion-ma defenders sasa wanawasoma na wanajua mpira utakwenda wapi-this was not the case before.Hali iyo ikirudi hawa akina Dembele will easily fit into the mold. Sasa tatizo one never knows what Velverde is thinkingMda husema ukweli, ngoja tuone baada ya kufix hizo shida nini atafanya
Dada Jack unadhani ni kwanini Valdeve hamtumii Denis labda wewe huko unaweza kuwa na taarifaKuna kitu,Barca kule mbele,wamepoteza ile customary coolness,ya ku interchange passes hence driving opposition defenders in confusion-ma defenders sasa wanawasoma na wanajua mpira utakwenda wapi-this was not the case before.Hali iyo ikirudi hawa akina Dembele will easily fit into the mold. Sasa tatizo one never knows what Velverde is thinking
No idea at all,watu wameulizana na bado wanauliza lakini Velverde ana maintain stone silenceDada Jack unadhani ni kwanini Valdeve hamtumii Denis labda wewe huko unaweza kuwa na taarifa
Ngoja tusibiri hiyo mipango yake na akina Gomes na VidalNo idea at all,watu wameulizana na bado wanauliza lakini Velverde ana maintain stone silence
Hahahah kaka katika wachezaji wasiojua mpira Barcelona ni hao Vidal na Gomez. Kiukweli ile sub ilikua acheze Dembele sio hao.Kama Vidal aliingia kaka kwann Denis asicjeze
Mwongeze na Paco AlcacerHahahah kaka katika wachezaji wasiojua mpira Barcelona ni hao Vidal na Gomez. Kiukweli ile sub ilikua acheze Dembele sio hao.
Uko sahihi pale mbele kuna shida kabisa, sio ile barca tulio izoea. Kumbuka messi kwa match kadhaa amecheza nyuma sana , na kumchezesha Polinho pale mbele ni kujipotezea mda tu. Mfumo ambao barca saizi nauona watakuwa vzr pale mbele ni Suarez acheze kulia Messi ktk na Dembele kushotoKuna kitu,Barca kule mbele,wamepoteza ile customary coolness,ya ku interchange passes hence driving opposition defenders in confusion-ma defenders sasa wanawasoma na wanajua mpira utakwenda wapi-this was not the case before.Hali iyo ikirudi hawa akina Dembele will easily fit into the mold. Sasa tatizo one never knows what Velverde is thinking
Hahahaha Nashukuru sana mkuu XaviMessIniesta uyo Paco mie simwelewagi anazurura tu uwanjani akiwepo yeye naonaga kama tuko pungufu uwanjaniMwongeze na Paco Alcacer
Kweli mkuu mi kiukweli akichezaga Paulinho sioni umuhimu wake kivile zaidi ya kujaza viungo wengi bila sababu ya msingi.Uko sahihi pale mbele kuna shida kabisa, sio ile barca tulio izoea. Kumbuka messi kwa match kadhaa amecheza nyuma sana , na kumchezesha Polinho pale mbele ni kujipotezea mda tu. Mfumo ambao barca saizi nauona watakuwa vzr pale mbele ni Suarez acheze kulia Messi ktk na Dembele kushoto
Shukrani mkuu, kwa kikosi icho mkuu mie sina neno kiroho safi kabisa nimekifurahia. Nakipa 100%Wakuu kikosi hicho hapo juu nimewaletea