Usijali mkuu mambo yatakuwa sawa kabisa, sio kwa lile limsitubarca licha ya kutafuta ishindi wao wanatafuta na records ndio kinachofanya mpaka saizi wanapoteza nafasi kwa kutaka fulani ndio afunge, maana pasi nyingi sana ndani ya 18 wakati chelsea wao William akiona mwanya tu anaachia shine hata kama mbali, ...
Hebu watuwekee Countinho kwanza maana ndio anayefanya mpaka saizi niwe macho kuona maufundi
Kwann mkuuCheisii kwisha habari yao
Ha ha ha ha ha tema mate chini mkuuMi nikimfumania Messi na mke wangu... kiroho safi kabisa ntamwambia... Maliza baba hakikisha huyo mama anawahi kurudi nyumbani. Kutafuniwa na mtakatifu ni baraka tosha...
Sijui kwanini wanaona kua chelsea imeshatoka ila kiuhalisia game bado mbichi kabisa ata kama Chelsea watafunguka bado inatia hofu kutokana na jinsi beki zetu zilivyocheza leoKwann mkuu
Sio sisi ndo tunacheza kwny mstar mwekundu
Tumecheza ugenn tumefunga goli moja tuSijui kwanini wanaona kua chelsea imeshatoka ila kiuhalisia game bado mbichi kabisa ata kama Chelsea watafunguka bado inatia hofu kutokana na jinsi beki zetu zilivyocheza leo
Nafasi za magoli hazijatengenezwa kabisa leo yani iliopatikana ndio imetumika kuna ile ntingine mwanzo Paulinho alipiga kichwa off targetUmaziaji bado tuko poor kabisa
Hahah usiombe hyo kitu chief yani Chelsea watangulie kuscore pale camp nou hilo bus lao mbona utalipenda, wale jama wanajua kudefence nyie acheniTumecheza ugenn tumefunga goli moja tu
Tukija kutandikwa moja la mapema nou camp akil itaturuka aisee
Uingereza n Uingereza tuTwende mbele turudi nyuma ule ukuta wa chelsea sio poa, kama bus hawa jamaa wanajua kulipaki haswa ile ngome kuitoboa imekua ni kazi ngumu sana....
Kitu kingine beki zetu zilikua zinakatika sana yani pia makosa kibao kama kukaba kwa macho na kuruhusu kuwavuta maadui karibu na eneo lao la hatari...
Mess kufunga imeleta raha sana mana ndio imekua mwisho wa ile kauli ya mashabiki wa chelsea
Watachukua ma-eicher made in tandika waje wayasuse kwny kum na nane paleHahah usiombe hyo kitu chief yani Chelsea watangulie kuscore pale camp nou hilo bus lao mbona utalipenda, wale jama wanajua kudefence nyie acheni
Pa1 sana kiongoziWakuu, nawatakia usiku mwema. Tutakutana asubuhi humu!
Bwana ww lala salama tuWakuu, nawatakia usiku mwema. Tutakutana asubuhi humu!
Hahah mixer ma-UDAWatachukua ma-eicher made in tandika waje wayasuse kwny kum na nane pale
Hapo tutaelewa mabas ya mwendokasi hayana route ya kwenda "GEZAULOLE"Hahah mixer ma-UDA
Mechi bado hiyo ukumbuke aliwah kufa kadude pale na ukikumbuka mechi nyingi za mtoano barca kavuka kwa agriget akikutana na chelsea ila chelsea mechi mbili kamuosha bila agriget kwa matokeo ya leo na mwenendo wa chelsea bora kukaaa kimya tu mkuuCheisii kwisha habari yao
Nikutakie usiku mwema ChiefHapo tutaelewa mabas ya mwendokasi hayana route ya kwenda "GEZAULOLE"
Mkuu we lalaNikutakie usiku mwema Chief
Mkuu mwekundu hivi torres lile goli alifunga mkiwa kwenu au kwao?Ila Chelse aje atufunge home?haiwezekani tena kwa game approach ile ya ku park bus na kuvizia?atakufa kifo cha mende
Inshaalah maombi yatasikikaMkuu we lala
Ila kabla hujalala hakikisha unafanya maombi ya kutosha ule ukuta wa walw omba omba wa darajan unamomonyoka nou camp plz