FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kuna na mwenzie wa kuitwa Paco Alcacer huyu jamaa simwelewagi kabisa uwanjani kama game iliopita niliona anazurura tu uwanjani hajulikani ata number ngapi kwenye ile match
Hawa jamaa ni zururuji
 
Hawa jamaa ni zururuji
Hahaha hatari sana sema natamani hii match, Messi na Iniesta wasicheze wapumzike kwa ajili ya game na Chelsea.....waanze Dembele, Coutinho na Suarez pale mbele nione nao moto wao, natamani pia Pique apate majeraha tena nione combination matata ya Yerry Mina na Umtiti kwa mda mrefu.
 
mkuu hapo kuna vitu natofautiana na wewe kidogo kuhusu messi na pique, kumbuka tumetoa draw mbili mfululizo kwa hiyo kesho ni lazima tushinde ili confidence irudi
 
mkuu hapo kuna vitu natofautiana na wewe kidogo kuhusu messi na pique, kumbuka tumetoa draw mbili mfululizo kwa hiyo kesho ni lazima tushinde ili confidence irudi
Ligi uhakika wa kuchukua mkubwa sana maana wapinzani wetu ambao wangekua karibu yetu tungekua na hofu ni Real Madrid ila Atletico Madrid ni kama Valencia tu sio timu za kututia pressure tuwe roho juu haziaminikagi. Angalia Valencia alianza na moto wa ajabu sahivi kampita Real Madrid kwa point 1 uku Real Madrid ana match moja mkononi.
 
mkuu hapo kuna vitu natofautiana na wewe kidogo kuhusu messi na pique, kumbuka tumetoa draw mbili mfululizo kwa hiyo kesho ni lazima tushinde ili confidence irudi
Wacheze, hii game ni muhimu sana hasa tukishinda maana ni kipimo pia cha maandalizi ya kukipiga na Chelsea
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…