FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Kocha wetu yuko "very technical". Kumbuka wiki ijayo tutakuwa na game ngumu dhidi ya Valencia (Copa Deray) nyumbani kwao.Hii line up sijui kama tutatoboa. Siku ile Digne walipoanza na Semedo tulikamatwa na game ilikuja badilika tulipofanya changes. Alba na Roberto ni watu muhimu sana kwa game hii ngumu. Kocha kadharau game. King pia bench.
Refarii anahusikaje hapa mkuuKocha wetu yuko "very technical". Kumbuka wiki ijayo tutakuwa na game ngumu dhidi ya Valencia (Copa Deray) nyumbani kwao.
Kwa line up hii iko powa madamu J.Alba na Messi10 wako benchi. So mambo yakienda kombo sana lazima waingie kuokoa jahazi.
Lakini kama mambo yataenda poa hamna haja ya kuingia na tutakuwa tumejiweka vizuri muno dhidi ya Valencia wiki ijayo...
Ni Kocha Mkuu... hope hukuona vizuriRefarii anahusikaje hapa mkuu
Mimi hata sioni shida sana k
messi kuanzia bench. Tatizo pale kwa Digne na Semedo. Huwa wanapanda sana na kujisahau mnoo
Kikosi kimenitisha sana hasa pale mbele ila kwa hayo maelezo yako kama nimekuelewa na umenishawishi.Kocha wetu yuko "very technical". Kumbuka wiki ijayo tutakuwa na game ngumu dhidi ya Valencia (Copa Deray) nyumbani kwao.
Kwa line up hii iko powa madamu J.Alba na Messi10 wako benchi. So mambo yakienda kombo sana lazima waingie kuokoa jahazi.
Lakini kama mambo yataenda poa hamna haja ya kuingia na tutakuwa tumejiweka vizuri muno dhidi ya Valencia wiki ijayo...
Umechambua vema saanaValverde yuko sahihi kwa hiki kikosi.
Espanol hua wancheza brutally sana wakikutana na Barcelona!
For the mean time, hatuko tayari kuwapoteza key players kwa injury zisizo za lazima.
Laliga tumeshashinda tayari, nguvu kubwa inaelekezwa UCL na copa d ray.
Nafikiri mnafahamu kama Messi akipata injury sasa hivi nini kitatukuta.
Ni bora tupoteze hii mechi kuliko kuruhusu injury zitakazo tucost the bigger victories!
Kupoteza noma mkuu maana tumeshazoea kushinda toka ligi ianzeValverde yuko sahihi kwa hiki kikosi.
Espanol hua wancheza brutally sana wakikutana na Barcelona!
For the mean time, hatuko tayari kuwapoteza key players kwa injury zisizo za lazima.
Laliga tumeshashinda tayari, nguvu kubwa inaelekezwa UCL na copa d ray.
Nafikiri mnafahamu kama Messi akipata injury sasa hivi nini kitatukuta.
Ni bora tupoteze hii mechi kuliko kuruhusu injury zitakazo tucost the bigger victories!
Kaachia bonge la shuti....Cotinho cotinho
Hatubanagwi shida yetu ni kufunga tu basiTumebanwa ee