Sasa tunaenda kuua maana watataka kutaguta kagoli ka ugenini. Paulinho for Rakitic dk ya 67. Rakitic amecheza vizuri kipindi cha kwanza mwanzoni baadaye akaanza kuflop.

Hawa Valencia na hizi negative tactics yaani wanaamini return leg wata overturn hii deficit? hii kulazana na njaa betting shops hawataigusa hii return leg