vous JF-Expert Member Joined Dec 15, 2017 Posts 657 Reaction score 649 Jan 26, 2018 #20,321 sikongefdc said: Mnao angalia mpira, naombeni ripoti ya coutinho wakuu. Click to expand... Anachafua
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Jan 26, 2018 #20,322 Game over Barcelona 2-0 Espanyol Jamaaa wagumu....kweli hii ni derby Tumeshaingia nusu fainali mwaka wa treble huu Ha ha ha wapi kaka Penaldo
Game over Barcelona 2-0 Espanyol Jamaaa wagumu....kweli hii ni derby Tumeshaingia nusu fainali mwaka wa treble huu Ha ha ha wapi kaka Penaldo
vous JF-Expert Member Joined Dec 15, 2017 Posts 657 Reaction score 649 Jan 26, 2018 #20,323 sikongefdc said: Mnao angalia mpira, naombeni ripoti ya coutinho wakuu. Click to expand... Dah Dogo anawachafua espanyol
sikongefdc said: Mnao angalia mpira, naombeni ripoti ya coutinho wakuu. Click to expand... Dah Dogo anawachafua espanyol
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Jan 26, 2018 #20,324 sikongefdc said: Mnao angalia mpira, naombeni ripoti ya coutinho wakuu. Click to expand... Chenga zimepigwa, pasi zimepigwa, kujipozisheni anajua....heri mtu yule asiye na mashaka naye.
sikongefdc said: Mnao angalia mpira, naombeni ripoti ya coutinho wakuu. Click to expand... Chenga zimepigwa, pasi zimepigwa, kujipozisheni anajua....heri mtu yule asiye na mashaka naye.
sikongefdc JF-Expert Member Joined Oct 18, 2017 Posts 1,610 Reaction score 2,158 Jan 26, 2018 #20,325 vous said: Dah Dogo anawachafua espanyol Click to expand... Kesho ntajisogeza YouTube
Herbert Nkuluzi JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 2,802 Reaction score 2,965 Jan 26, 2018 #20,326 mwekundu said: Game over Barcelona 2-0 Espanyol Jamaaa wagumu....kweli hii ni derby Tumeshaingia nusu fainali mwaka wa treble huu Ha ha ha wapi kaka Penaldo Click to expand... Ngoja nilale sasa kwa amani
mwekundu said: Game over Barcelona 2-0 Espanyol Jamaaa wagumu....kweli hii ni derby Tumeshaingia nusu fainali mwaka wa treble huu Ha ha ha wapi kaka Penaldo Click to expand... Ngoja nilale sasa kwa amani
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Jan 26, 2018 #20,327 Iniesta baada ya kumuona Coutinho atakuwa kasema. Bwana sasa unaweza muacha mtumishi wako apumzike kwa amani.
Iniesta baada ya kumuona Coutinho atakuwa kasema. Bwana sasa unaweza muacha mtumishi wako apumzike kwa amani.
MrConveter JF-Expert Member Joined Jul 4, 2017 Posts 1,291 Reaction score 2,368 Jan 26, 2018 #20,328 Red Giant said: Chenga zimepigwa, pasi zimepigwa, kujipozisheni anajua....heri mtu yule asiye na mashaka naye. Click to expand... Hahahaha
Red Giant said: Chenga zimepigwa, pasi zimepigwa, kujipozisheni anajua....heri mtu yule asiye na mashaka naye. Click to expand... Hahahaha
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Jan 26, 2018 #20,329 Red Giant said: Iniesta baada ya kumuona Coutinho atakuwa kasema. Bwana sasa unaweza muacha mtumishi wako apumzike kwa amani. Click to expand... Ana control na anapiga penetrating passes kibao naona uwanja ulikua unatapika
Red Giant said: Iniesta baada ya kumuona Coutinho atakuwa kasema. Bwana sasa unaweza muacha mtumishi wako apumzike kwa amani. Click to expand... Ana control na anapiga penetrating passes kibao naona uwanja ulikua unatapika
M mzabhe JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 261 Reaction score 279 Jan 26, 2018 #20,330 Coutinho fundi anavopiga chenga kama vile alikuwepo barca miaka saba iliyopita
sikongefdc JF-Expert Member Joined Oct 18, 2017 Posts 1,610 Reaction score 2,158 Jan 26, 2018 #20,331 Red Giant said: Chenga zimepigwa, pasi zimepigwa, kujipozisheni anajua....heri mtu yule asiye na mashaka naye. Click to expand... Safi sana, ntamwangalia you tube
Red Giant said: Chenga zimepigwa, pasi zimepigwa, kujipozisheni anajua....heri mtu yule asiye na mashaka naye. Click to expand... Safi sana, ntamwangalia you tube
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Jan 26, 2018 #20,332 mwekundu said: Ana control na anapiga penetrating passes kibao naona uwanja ulikua unatapika Click to expand... Amepiga kandanda safi. Itakuwa kama Messi. Kila muda unatamani awe na mpira.wangetupa tu hizi domestic cups kuliko kupotezeana muda.
mwekundu said: Ana control na anapiga penetrating passes kibao naona uwanja ulikua unatapika Click to expand... Amepiga kandanda safi. Itakuwa kama Messi. Kila muda unatamani awe na mpira.wangetupa tu hizi domestic cups kuliko kupotezeana muda.
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Jan 26, 2018 #20,333 Huyu refa naona katupa kadi za magumashi. Hasa ya Messi na Paulinho. Wamemkosoa kidogo katoa kadi, utafikiri Rais wa nchi fulani.
Huyu refa naona katupa kadi za magumashi. Hasa ya Messi na Paulinho. Wamemkosoa kidogo katoa kadi, utafikiri Rais wa nchi fulani.
juma digo Senior Member Joined Jan 14, 2015 Posts 170 Reaction score 394 Jan 26, 2018 #20,334 kusema kweli japokua mechi ilikua ngumu, ila nilikua natamani mpira usiishe...... kuna vijana pale mbele wamenikosha saaaana. wapi fundi [HASHTAG]#coutinho[/HASHTAG] wapi king [HASHTAG]#Messi[/HASHTAG]
kusema kweli japokua mechi ilikua ngumu, ila nilikua natamani mpira usiishe...... kuna vijana pale mbele wamenikosha saaaana. wapi fundi [HASHTAG]#coutinho[/HASHTAG] wapi king [HASHTAG]#Messi[/HASHTAG]
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Jan 26, 2018 #20,335 mwekundu said: Ana control na anapiga penetrating passes kibao naona uwanja ulikua unatapika Click to expand... Na anan'gang'ania mpira/possesive. Hii ni sifa muhimu sana kwa mchezaji wa Barca. Hii debut ya Coutinho imenifurahisha sana.
mwekundu said: Ana control na anapiga penetrating passes kibao naona uwanja ulikua unatapika Click to expand... Na anan'gang'ania mpira/possesive. Hii ni sifa muhimu sana kwa mchezaji wa Barca. Hii debut ya Coutinho imenifurahisha sana.
FineForever JF-Expert Member Joined Apr 12, 2017 Posts 1,777 Reaction score 2,361 Jan 26, 2018 #20,336 Nani wakutuzuia ??? Nauliza tu!!!. €160 m ya Coutihno ni harari 100%. Yaani kama kalelewa Lamasia academy. Ana "confidence" ya juu sana. Kifupi anauwezo wa juu sana...
Nani wakutuzuia ??? Nauliza tu!!!. €160 m ya Coutihno ni harari 100%. Yaani kama kalelewa Lamasia academy. Ana "confidence" ya juu sana. Kifupi anauwezo wa juu sana...
Monasha JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 563 Reaction score 423 Jan 26, 2018 #20,337 Red Giant said: Huyu refa naona katupa kadi za magumashi. Hasa ya Messi na Paulinho. Wamemkosoa kidogo katoa kadi, utafikiri Rais wa nchi fulani. Click to expand... Hahahahaahaaa
Red Giant said: Huyu refa naona katupa kadi za magumashi. Hasa ya Messi na Paulinho. Wamemkosoa kidogo katoa kadi, utafikiri Rais wa nchi fulani. Click to expand... Hahahahaahaaa
FineForever JF-Expert Member Joined Apr 12, 2017 Posts 1,777 Reaction score 2,361 Jan 26, 2018 #20,338 Monasha said: Hahahahaahaaa Click to expand... Mngese sana huyu refarii, huwaga namfuatilia sana ktk games mbalimbali. Ana ukauzu flani hivi usiofaaa!!!!
Monasha said: Hahahahaahaaa Click to expand... Mngese sana huyu refarii, huwaga namfuatilia sana ktk games mbalimbali. Ana ukauzu flani hivi usiofaaa!!!!
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,334 Reaction score 8,813 Jan 26, 2018 #20,339 mwekundu said: Thanks mkuu Click to expand... Poa
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,334 Reaction score 8,813 Jan 26, 2018 #20,340 Monasha said: Hahahahaahaaa Click to expand... Red kanifurahisha 😀😀 utafikiri raisi wa nchi fulani