FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

nishakuambia huyo messi wako mwalimu wake gaucho

vile vitu vya ziada unavyoviona kwa messi ni copy and paste toka kwa gaucho
niamini mimi
Kwa faida tu kuwa
King Leo hajawah kuwa na mwalim
That man is special, born with his talent
Na ana historia ya ajab sana,mkuu
Tafuta,soma, chambua, umfaham kwa kina huyu kiumbe
 

Kabisa mkuu
 
Nimeweka facts zangu. Ziko wazi.

Sasa kama wewe unasema Gaucho ni overrated bila kua na facts, basi hauna tofauti na Nabii Tito!

Facts hupingwa kwa facts. Not empty words

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]


Gaucho mlinganishe na wakina aguero neimar de lima na okocha. Messi mwache kama alivyo, sio wa sayari hii
 

Kwa messi upo ok.

Messi
Diego
Pele
.
.
.
Gaucho sio mahala pake hapa. Wapo wengi umewaacha na walikuwa more than kiuno.

Walikuwepo akina
alfredo de stefano
Puskas
Cruyff
Zidane
De lima
Requelme
Mario kempes
Buruchagga
George best
Nikiweka ushabiki mandazi pending cr7 ni more than gaucho.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…