I see, this is all you can manage!Fact gani zaidi ume narrate story tu.
Kama mimi ni nabiitito basi wewe ni wale wanawake alikuwa anawafanya kitu mbaya
Mimi Enzi za Gaucho,mpira nilikuwa siujuwi-hence I cannot judge-je Gaucho in his prime na Messi in his prime nani angekuwa the first in the team sheet???I see, this is all you can manage!
Keep whining and hating. That dude won't lose his two ballon d'ors or the respect he has earned from the people who know football.
No hard feelings though!
Adios
Watu wa ajabu sana hawa mkuu. Ukiwaomba statistics hawaleti why???? Mtu eti anasifia kitu without-any-evidence!!! Wabongo bana.
itakuwa poa sana countino akianza
Pancha kila kukichaHuyo dembele anaumwa kwan jaman
Moja kati ya habari nzur sana kuzisikia ktk huu mwakaNyumba ya jirani yetu imewaka moto leo,wamepigwa na leganes nyumbani bernabeu. In short wametolewa copa del rey
Ha ha haKuna dogo anaitwa munir asee namkubali sana sijui yupo wapi kipindi hiki
Wenyewe tunasema jiran kuvuliwa pupi nyumban kwakeNyumba ya jirani yetu imewaka moto leo,wamepigwa na leganes nyumbani bernabeu. In short wametolewa copa del rey
MkuuNimeweka facts zangu. Ziko wazi.
Sasa kama wewe unasema Gaucho ni overrated bila kua na facts, basi hauna tofauti na Nabii Tito!
Facts hupingwa kwa facts. Not empty words
Wako brainwashed hao wapumbavu ,Gaucho ameshawahi kupata hadi standing ovation Bernabeu ilisimama *****,ni winner wa world cup piaKuna mtu anaweza kuongea kitu ukabaki unashangaa, huyu mtu anatoa wapi mawazo ya ajabu namna hii?
Yani leo kuna mtu anasema Gaucho is overrated?
Come on man, stick to fashion magazines, football is not for you!
Eti mtu anasema Ronaldinho overrated kisa hana statistics Kali za magoli mengi?
Hivi unajua kwamba john Terry ana mabao mengi ya EPL kuliko mabao ya Iniesta LALIGA?
Je, Iniesta ni overrated?
Ronaldinho won two balon d'ors cause he deserved them, not by luck!
Hivi unafikiri mashabiki wa real Madrid ni wajinga kusimama na kumpigia makofi Gaucho pale Santiago Bernabeu?
Unamfananisha Gaucho na Coutinho, unaangaliaga mpira kweli au hua unasikiliza kwenye redio?
Dinho was a play maker, so you won't judge him by his goals statistics.
Speed, stamina, control, dribbles, nutmegs, free kicks, wonderful goals, inahitaji kujitoa ufahamu kusema huyu jamaa ni overrated!
Kwangu Mimi Gaucho is the second best player after Messi in the current generation (there is a room for argument here).
Otherwise, unaweza kubishana na mtu ukidhani anajua mpira kumbe unabishana na nabii Tito!
No hard feelings.
Adiós amigos