FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barcelona inatisha sana na hii pace yao ndani ya dakika 30 za mwisho Betis ameloa goli 5
Suarez na Messi mmoja wao ilibidi atoke na hatrick ,mtu kama Messi in reality angekua kama ana element za u selfish hata 05% tu basi nawaambieni kila match angekua anapiga hatrick
Perfect game ,Velverde usirudie tena kumuingiza Gomez na kumuacha Paulinho nje amecheza dk 30 tumeona impact yake
Halafa Busquets utalogwa unachonga pass za kupenyeza kama ruler?
Raha sana #Forca_Barca
S.Roberto ulichokifanya leo midfielder nadhani velverde anaenda kulaumu technical eperts wake you are naturally midfielder

Semedo chaaa... speed nimeona zimesoma ulifikisha 33km /hr wakati unamkimbiza yule defender hiyo namba (RB) wewe ndio ya kwako ,una stamina ,balance ,speed,dribbling tactics etc am sure lord Penaldo asingepiga shoot hata moja ukimkaba
Uwezo wa Jordi Alba kuna muda hua nafikiri ni no 11 kumbe sio?you are the master wa kutia cross kwa speed na muda muafaka
Pique thanks kwa kulet balance ya defence
Tchao...
 
Namtafuta kijambio simuon jaman
 
Mkuuu
Hebu tutafute jina la kumuita gomez coz jamaa nkiona jina lake nashikwa ari ya kumtoa ktk list ya wachezaji wa barca
 
Barcelona inatisha sana na hii pace yao ndani ya dakika 30 za mwisho Betis ameloa goli 5
Suarez na Messi mmoja wao ilibidi atoke na hatrick ,mtu kama Messi in reality angekua kama ana element za u selfish hata 05% tu basi nawaambieni kila match angekua anapiga hatrick
Perfect game ,Velverde usirudie tena kumuingiza Gomez na kumuacha Paulinho nje amecheza dk 30 tumeona impact yake
Halafa Busquets utalogwa unachonga pass za kupenyeza kama ruler?
Raha sana #Forca_Barca
S.Roberto ulichokifanya leo midfielder nadhani velverde anaenda kulaumu technical eperts wake you are naturally midfielder

Semedo chaaa... speed nimeona zimesoma ulifikisha 33km /hr wakati unamkimbiza yule defender hiyo namba (RB) wewe ndio ya kwako ,una stamina ,balance ,speed,dribbling tactics etc am sure lord Penaldo asingepiga shoot hata moja ukimkaba
Uwezo wa Jordi Alba kuna muda hua nafikiri ni no 11 kumbe sio?you are the master wa kutia cross kwa speed na muda muafaka
Pique thanks kwa kulet balance ya defence
Tchao...
Semedo naona siku ya kukutana na Neymar-TV zote duniani zita focus kwa mtu mbili hizi
 
Nikimuona Andres Gomes moyo hua unanyongea kwanini Dennis Suarez asichezeshwe?Rafinha hadi amehama
Huyu Gomez ana kizizi sio bure

Mkuu ktk watu wenye bahati dunian ni huyu mreno cjui alikujaje hapa na bado anaendelea kucheza tu. Yaan mtu km denis suarez hajapewa kabsa nafas na nia mara mia ya huyu gomes. Kaondoka arda turan jamaa hili cjui chawi bado lipo tu linakera kingese.
 
Watangazaji wa Azam vilaza sana wamesifia ile pasi ya busquets mpaka wameharibu eti wakasema ni kijana aliyeletwa kuzipa pendo la xavi dah! Ina maana hawajui kuwa jamaa ni legend?
Hao watangazaji ni kama padri mcharo

Siwapend baadhi ya watangazaji wa AzamTv hasa ktk mpira wa majuu. Hawajui kabisaaaaa hata majina ya wachezaji ndio hvyo kuna siku samedo alika anaitwa segio roberto toka mwanzo mpaka mwisho nkawa najiuliza hili lijamaa linafanya kusudi au halijui? Wako local sana bora wawaachie vijana akina hashim ibwe na yule sijui walter harrison.
 
Barcelona inatisha sana na hii pace yao ndani ya dakika 30 za mwisho Betis ameloa goli 5
Suarez na Messi mmoja wao ilibidi atoke na hatrick ,mtu kama Messi in reality angekua kama ana element za u selfish hata 05% tu basi nawaambieni kila match angekua anapiga hatrick
Perfect game ,Velverde usirudie tena kumuingiza Gomez na kumuacha Paulinho nje amecheza dk 30 tumeona impact yake
Halafa Busquets utalogwa unachonga pass za kupenyeza kama ruler?
Raha sana #Forca_Barca
S.Roberto ulichokifanya leo midfielder nadhani velverde anaenda kulaumu technical eperts wake you are naturally midfielder

Semedo chaaa... speed nimeona zimesoma ulifikisha 33km /hr wakati unamkimbiza yule defender hiyo namba (RB) wewe ndio ya kwako ,una stamina ,balance ,speed,dribbling tactics etc am sure lord Penaldo asingepiga shoot hata moja ukimkaba
Uwezo wa Jordi Alba kuna muda hua nafikiri ni no 11 kumbe sio?you are the master wa kutia cross kwa speed na muda muafaka
Pique thanks kwa kulet balance ya defence
Tchao...
I liked the analysis.... You're good mkuu...uko vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom