Barcelona inatisha sana na hii pace yao ndani ya dakika 30 za mwisho Betis ameloa goli 5
Suarez na Messi mmoja wao ilibidi atoke na hatrick ,mtu kama Messi in reality angekua kama ana element za u selfish hata 05% tu basi nawaambieni kila match angekua anapiga hatrick
Perfect game ,Velverde usirudie tena kumuingiza Gomez na kumuacha Paulinho nje amecheza dk 30 tumeona impact yake
Halafa Busquets utalogwa unachonga pass za kupenyeza kama ruler?
Raha sana #Forca_Barca
S.Roberto ulichokifanya leo midfielder nadhani velverde anaenda kulaumu technical eperts wake you are naturally midfielder
Semedo chaaa... speed nimeona zimesoma ulifikisha 33km /hr wakati unamkimbiza yule defender hiyo namba (RB) wewe ndio ya kwako ,una stamina ,balance ,speed,dribbling tactics etc am sure lord Penaldo asingepiga shoot hata moja ukimkaba

Uwezo wa Jordi Alba kuna muda hua nafikiri ni no 11 kumbe sio?you are the master wa kutia cross kwa speed na muda muafaka
Pique thanks kwa kulet balance ya defence
Tchao...