Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,854
Usiwe kiazi mbatata wewe sa akiwa Mzanzibari hapaswi kuishi huku baraSi mzanzibari? twambie anaishi wapi
Usiwe kiazi mbatata wewe sa akiwa Mzanzibari hapaswi kuishi huku baraSi mzanzibari? twambie anaishi wapi
Ni Maombi Yangu Kwamba Mungu Amlinde huyu dada kuwa sauti ya wanyonge,Amina!Ameulizwa matusi na vitisho anavyopata kwenye mitandao akasema hakatishwi tamaa yeye ataendelea kusema analoamini ni haki
Huyu naye ni mnafiki tu kama walivyo Wazanzibari.
Isingekuwa ubabe wa Baba yake, president Amani Karume ambaye aling’ang’ania madaraka hata Rais Ali Mohamed Shein alisingepatikana wala asingekuwa Rais wa Zanzibar.
Rais Ali Mohamed Shein ni by-product ya utawala wa Rais Amani Karume.
Usiwe jinga na wewe sa amuulize Hitler kwani bado mzima ama Hitler wa nyumbani kwenuShe can be charged as an accessory to a crime committed by her Dad, Amani Karume.
Muulize Adolf Hitler na familia yake!
Usitake kukwepa wewe.ndani ya chama kipi? Nazungumzia kumnyang'anya ushindi Maalim Seif na kuwauwa wapemba mpaka wengine wakakimbilia Mombasa na somalia.au unajifanya umesahau. Babake alisaidiwa na mkapa kukaa pale kwa nguvu mbona kila MTU anajuwa.Yale yalikuwa mambo ndani ya chama si hili la wananchi wote . Michakato ndani ya vyama inatoa loophole ya hivo, Angalia hata upatikanaji wa Magufuli kuna watu wamekandamizwa!!
alishafukuzwa,Huyu dada ana tatizo gani? IMMA bado haimtoshi????
MsemajiUkweli
Shein kuwa pale ni mpango wa Kikwete kutaka Meghji awe makamu wake hivyo alibidi amtafutie wadhifa Shein
Mpango wake huo ulishindwa kama alivyoshindwa kumrithisha Membe
What a loser
Usitake kukwepa wewe.ndani ya chama kipi? Nazungumzia kumnyang'anya ushindi Maalim Seif na kuwauwa wapemba mpaka wengine wakakimbilia Mombasa na somalia.au unajifanya umesahau. Babake alisaidiwa na mkapa kukaa pale kwa nguvu mbona kila MTU anajuwa.
Waache hao bado wamekwama katika siasa za miaka ya sitini, akisema mwanaume jabbari, lakini mwanamke hana haki ya kutoa hoja au rai zake.Lugha za watu Wachovu hizi.....jibu hoja yake badala ya kutusi
Dhambi za baba'ko wewe umezirithi?
Huyu mdada pia anahusika "Na hapa kwangu huko zanzibar"Bahati mbaya kiongozi Zanzibar hana ujasiri wa kutumbua majipu, angeshamtumbua zamaaani yeye na dingiHuyu dada ana tatizo gani? IMMA bado haimtoshi????
tena mnafiki wa hali ya juu yy kashikilia hoja ya shein by the way anaweza kuwa na chuki binafsi na familia ya shein km si hivo bas aanzie historia ya zanzibar na uhaini ulofanywa na baba yake bila kumuweka mbali babu yake ili tumuone ni shujaa anakata matawi huku mizizi akiimwagilia maji huo ni unafikiHuyu naye ni mnafiki tu kama walivyo Wazanzibari.
Isingekuwa ubabe wa Baba yake, president Amani Karume ambaye aling’ang’ania madaraka hata Rais Ali Mohamed Shein alisingepatikana wala asingekuwa Rais wa Zanzibar.
Rais Ali Mohamed Shein ni by-product ya utawala wa Rais Amani Karume.
...Babake mbona alishindwa na Seif mara mbili lakini hasemi ! Mbona babake CCM ilishinikiza ateuliwe kugombea urais wakati alikuwa 'disqualified' !? (hakuwa na Degree, kipengele kilichomtoa Mrema CCM)Mwanadada jasiri na aliyejizolea umaarufu hivi karibuni Fatuma Karume AMELIPUKA, unaweza kusema. Akihojiwa na DW amesema sasa Zanzibar wanaishi kama wanyama maana hawafuati katiba. "Kama wameamu kuondoa utaratibu tuliyojiwekea sasa tuna tofauti gani na wanyama?"
Alipoulizwa kama vitisho vya CCM havimtishi na kama baba yake hamdhibiti, amesema. "Mimi siyo mbwa wala paka, nina haki yangu ya asili ya kujieleza na kutoa maoni" Amesema baba yake hawezi kuondoa uhuru wake kisa CCM.
"Wanataka baba anidhibiti? (kicheko) "nina miaka 46, tena baba ananihimiza kufanya nachoamini ni haki"
Alipoulizwa maoni yake kuhusu MCC amesema anasikia watu wanasema waZanzibar wako tayari kufa njaa lakini serikali iachwe huru. "Hivi tunahitaji serikali huru au watu huru? hapa tuna wakoloni wengine" Ameuliza "yaani watu wa Zanzibar wafe njaa kisa Shein awe rais?" haiwezekani!
.... Babake hakuwa na Degree, lakini CCM-Taifa, ikalazimisha agombee ! ..... mabingwa wa kupora ardhi huko Zanzibar. 'hapa pangu!'Muwasho unamsumbua huyu Binti. Kila Mtu anajua kuwa Dr. Bilal alikuwa chaguo la wa znz lakini akaporwa haki hiyo akapewa Babake na aliufyata. Znz inawezekana bila ya Familia yao asijikweze sana yeye ni mtu mdogo sana visiwani.
huyu dada amekushinda akili hata wewe.Huyu dada ana tatizo gani? IMMA bado haimtoshi????
Kaa kimya, wajuvi wapo wanakuja watakujuza, shurti uwe tayariHuyu naye ni mnafiki tu kama walivyo Wazanzibari.
Isingekuwa ubabe wa Baba yake, president Amani Karume ambaye aling’ang’ania madaraka hata Rais Ali Mohamed Shein alisingepatikana wala asingekuwa Rais wa Zanzibar.
Rais Ali Mohamed Shein ni by-product ya utawala wa Rais Amani Karume.