Fatuma Karume: Zanzibar tunaishi kama wanyama!

Mwanadada jasiri na aliyejizolea umaarufu hivi karibuni Fatuma Karume AMELIPUKA, unaweza kusema. Akihojiwa na DW amesema sasa Zanzibar wanaishi kama wanyama maana hawafuati katiba. "Kama wameamu kuondoa utaratibu tuliyojiwekea sasa tuna tofauti gani na wanyama?"

Alipoulizwa kama vitisho vya CCM havimtishi na kama baba yake hamdhibiti, amesema. "Mimi siyo mbwa wala paka, nina haki yangu ya asili ya kujieleza na kutoa maoni" Amesema baba yake hawezi kuondoa uhuru wake kisa CCM.
"Wanataka baba anidhibiti? (kicheko) "nina miaka 46, tena baba ananihimiza kufanya nachoamini ni haki"

Alipoulizwa maoni yake kuhusu MCC amesema anasikia watu wanasema waZanzibar wako tayari kufa njaa lakini serikali iachwe huru. "Hivi tunahitaji serikali huru au watu huru? hapa tuna wakoloni wengine" Ameuliza "yaani watu wa Zanzibar wafe njaa kisa Shein awe rais?" haiwezekani!
Hivi huyu bibi hajawahi jiuliza why watu hawamjibu? hivi anajuwa kile anaongea au anasubiri kuwa mbwa baada yakukanusha yeye sio mbwa au paka. Bibi ropoka mpaka domo lichanike ila tambuwa kisu kimegusa moyo mwisho utatulia kimya wala hutojuwa nini kimekunyamazisha. hili ni taifa huru ila uhuru wako usiwe makwazo kwa watu usije sahahu ule msemo mchuma janga hula na wakwao, hivi tu wewe ni dog wao maana tabia ya dog ni kubweka bweka ndani ya kibanda. kama kweli mwanamapinduzi weka watu barabarani alafu uone watakufanya nini. Mara zote nitakutahadharisha na kukuhusia hili ni taifa tena taifa huru jitaidi kuweka maneno ya akiba maana muda ukifika utaaibika tena utaaibika dunia ikutangaze ume aibika waachie mfupa wa muungano walikwisha ushindwa maana wewe utakutoa magego wakati kijana mbichi sana. in short hakuna mbwa ila mbwa ni yule anabweka na kwa sasa unamjuwa mbwa ni nani
 
Huyu dada ni shujaa na pia mpenda haki, lazima wanafiki watampinga kwa masilahi yao lkn, haki huwa aipotei bali inacheleweshwa tu
 
Hivi huyu bibi hajawahi jiuliza why watu hawamjibu? hivi anajuwa kile anaongea au anasubiri kuwa mbwa baada yakukanusha yeye sio mbwa au paka. Bibi ropoka mpaka domo lichanike ila tambuwa kisu kimegusa moyo mwisho utatulia kimya wala hutojuwa nini kimekunyamazisha. hili ni taifa huru ila uhuru wako usiwe makwazo kwa watu usije sahahu ule msemo mchuma janga hula na wakwao, hivi tu wewe ni dog wao maana tabia ya dog ni kubweka bweka ndani ya kibanda. kama kweli mwanamapinduzi weka watu barabarani alafu uone watakufanya nini. Mara zote nitakutahadharisha na kukuhusia hili ni taifa tena taifa huru jitaidi kuweka maneno ya akiba maana muda ukifika utaaibika tena utaaibika dunia ikutangaze ume aibika waachie mfupa wa muungano walikwisha ushindwa maana wewe utakutoa magego wakati kijana mbichi sana. in short hakuna mbwa ila mbwa ni yule anabweka na kwa sasa unamjuwa mbwa ni nani
Mkumbushe pia;DUNIA HADAA MALIMWENGU SHUJAA.
 
Sijaona unacho mlalamikia na kumkashifu Fatuma labda una lingine na lana ya kuku haimpati mwewe, anaepinga upuuzi wa na dhulma zilizofanyika zanzibar sio fatuma peke yake ni yeyote yule mpenda haki na demokrasia, sasa sijui kosa lake nini kusema ukweli Au,,
 
Hiyo elimu aliyoipata ambayo inamfanya kubwabwaja unadhani angeipata kama siyo kuishi ndani ya Ikulu ya Zanzibar kwa kutumia mabavu ya baba yake. You must be joking!
mimi elimu kama hiyo ninayo lakini sijawahi fika hata kwa geti la ikulu
 
Mwanadada jasiri na aliyejizolea umaarufu hivi karibuni Fatuma Karume AMELIPUKA, unaweza kusema. Akihojiwa na DW amesema sasa Zanzibar wanaishi kama wanyama maana hawafuati katiba. "Kama wameamu kuondoa utaratibu tuliyojiwekea sasa tuna tofauti gani na wanyama?"

Alipoulizwa kama vitisho vya CCM havimtishi na kama baba yake hamdhibiti, amesema. "Mimi siyo mbwa wala paka, nina haki yangu ya asili ya kujieleza na kutoa maoni" Amesema baba yake hawezi kuondoa uhuru wake kisa CCM.
"Wanataka baba anidhibiti? (kicheko) "nina miaka 46, tena baba ananihimiza kufanya nachoamini ni haki"

Alipoulizwa maoni yake kuhusu MCC amesema anasikia watu wanasema waZanzibar wako tayari kufa njaa lakini serikali iachwe huru. "Hivi tunahitaji serikali huru au watu huru? hapa tuna wakoloni wengine" Ameuliza "yaani watu wa Zanzibar wafe njaa kisa Shein awe rais?" haiwezekani!

Mhh!!!! Anasema yeye siyo paka wala mbwa ana uhuru wa kusema na kufanya anachoamini!!!! nadhani kwa nadharia hii anapaswa kujua uhuru huo alionao ndiyo unaotumiwa na upande mwingine hivyo kinachoendelea ni matokeo ya kutokuwa ktk mtazamo mmoja!!! wale wanaoamini kulala njaa ni uamuzi wao na wanaona haiwezekani pia wana haki yao
 
Aiseee huyu Dada kadri siku sinavyokuja ndivyo anavyozidi kunikonga mtima wangu,
 
Mwanadada jasiri na aliyejizolea umaarufu hivi karibuni Fatuma Karume AMELIPUKA, unaweza kusema. Akihojiwa na DW amesema sasa Zanzibar wanaishi kama wanyama maana hawafuati katiba. "Kama wameamu kuondoa utaratibu tuliyojiwekea sasa tuna tofauti gani na wanyama?"

Alipoulizwa kama vitisho vya CCM havimtishi na kama baba yake hamdhibiti, amesema. "Mimi siyo mbwa wala paka, nina haki yangu ya asili ya kujieleza na kutoa maoni" Amesema baba yake hawezi kuondoa uhuru wake kisa CCM.
"Wanataka baba anidhibiti? (kicheko) "nina miaka 46, tena baba ananihimiza kufanya nachoamini ni haki"

Alipoulizwa maoni yake kuhusu MCC amesema anasikia watu wanasema waZanzibar wako tayari kufa njaa lakini serikali iachwe huru. "Hivi tunahitaji serikali huru au watu huru? hapa tuna wakoloni wengine" Ameuliza "yaani watu wa Zanzibar wafe njaa kisa Shein awe rais?" haiwezekani!
Mojawapo ya wanawake ambao dunia haitawasahau, amejivua gamba la uoga na hofu na sasa anaongea kile anachoamini ni sahihi kwake na kwa kwa wengi
 
Hasira ya kukosa cheo, alisha jiaminisha cuf ikishinda ataula sasa imekula kwake. Kila anavyo zidi kiropoka ndio tunazidi kumuona punguani.
 
Mojawapo ya wanawake ambao dunia haitawasahau, amejivua gamba la uoga na hofu na sasa anaongea kile anachoamini ni sahihi kwake na kwa kwa wengi
Dunia imjue kwa lipi ndugu yangu?kulalamika bila ushahidi?
 
But at least anejitokeza na kuongea ushahidi ni mambo ya kisheria..amekuwa na guts za kuongea anachoamini huu uthubutu wengi hawana
 
Muwasho unamsumbua huyu Binti. Kila Mtu anajua kuwa Dr. Bilal alikuwa chaguo la wa znz lakini akaporwa haki hiyo akapewa Babake na aliufyata. Znz inawezekana bila ya Familia yao asijikweze sana yeye ni mtu mdogo sana visiwani.
Anasafiria nyota ya babu na baba yake,mnafiki mkubwa huyu ,yeye anaishi Mikocheni kwa raha zake halafu anaenda kuwazingua watu wenye shida zao,kiburi anachokipata kinatokana na kusomeshwa na kodi zetu wenyewe halafu anajifanya ndio anajua,ningemsifu angekuwa ni mtoto wa lofa na kwa bidii zake ndio kafikia hiyo ngazi lakini kwa yey ambaye kakuta kila kitu kipo hajui shida wala njaa inavyouma mwache abwabwaje tu ,sampuli hii ndio wa kwanza kukwea pipa kikinukakutokana na uchochezi wao,na nyie mnaompa promo ndio mwanzo mnakimbilia Shimo la Tewa,fikirini huyo mdada ana lake jambo na sio kusema ana uchungu nanyi,kama ana uchungu nanyi basi atoe hata robo ya mimali na viunga wanavyomiliki.
 
Kwa vitendo tasavali isiishie JF
Mkuu me ni mwanahatakati mzuri tu, kaz yangu kwanza tu nilijiwa juu mtoto wa kajamba nani ikabidi nitulie nijipange upya, soon narudi kwa mara nyingine kuuonyesha ulimwengu kuwa sikuzaliwa kwa bahati nasibu, wanaonizunguka wananielewa,
 
Back
Top Bottom