Fatuma Karume: Zanzibar tunaishi kama wanyama!

Hiyo elimu aliyoipata ambayo inamfanya kubwabwaja unadhani angeipata kama siyo kuishi ndani ya Ikulu ya Zanzibar kwa kutumia mabavu ya baba yake. You must be joking!
Watu wenye mawazo huru mnaona wanabwabwaja ila wezi na wabakaji wa demokrasia kwenu ndo wanatumia elimu yao inavyotakiwa! Ccm mnahitji kuombewa
 
Tanzania imefikia mahala, baadhi yetu tumejitoa ufahamu kabisa, eti mtu akitoa matusi huyo ndo anafaa, anamwagiwa sifa nyingi, na ndo maana wanasiasa fulani wameligundua hilo, wanachokifanya ni kutoa matusi alafu wachache miongoni mwetu wanafurahi kabisa, nilishawahi kuuliza kwamba huyu binti wa Karume kazijua sheria jana? kwani hata babake alikuwa Raisi alifanya mambo mengi2 ya kipuuzi, je hizo sheria zilikuwa wapi, aache kutafuta umaarufu.
 
Ccm hawajui tofauti ya ukweli na matusi. Ndiyo maana kwenye mitandao mnamwaga mitusi mkidhani mnatoa hoja. Sasa huyu dada katukana wapi?
 
Haya masuala angeyasema wakati babake anapewa urais Zanzibar na ccm kwa nguvu tungemuelewa.ila kwa sasa atulize kisharuala.

Yale yalikuwa mambo ndani ya chama si hili la wananchi wote . Michakato ndani ya vyama inatoa loophole ya hivo, Angalia hata upatikanaji wa Magufuli kuna watu wamekandamizwa!!
 
Ingekuwa vyema sana kama watu tungekuwa tunajibu hoja kwa hoja. Mtu anatoa maoni yake kwa hoja inayoyasupport lakini mwingine anaibuka na kumtusi eti kisa tu hoja iliyo mezani haisupport anachokiamini yyeye

Kweli demokrasia ngumu sana ktk nchi zetu kama hapa tu ambapo kuna wanaojiita magreat thinker inashindwa kufuatwa cjui huko nje itakuwaje
 
Mwanadada jasri na aliyejizolea umaarufu hivi karibuni Fatuma Karume AMELIPUKA, unaweza kusema. Akihojiwa na DW amesema sasa Zanzibar wanaishi kama wanyama maana hawafuati katiba. "Kama wameamu kuondoa utaratibu tuliyojiwekea sasa tuna tofauti gani na wanyama?"

Alipoulizwa kama vitisho vya Ccm havimtishi na kama baba yake hamdhibiti, amesema. "Mimi siyo mbwa wala paka, nina haki yangu ya asili ya kujieleza na kutoa maoni" Amesema babake hawezi kuondoa uhuru wake kisa Ccm.
"Wanataka baba anidhibiti? (kicheko) "nina miaka 46, tena baba ananihimiza kufanya nachoamini ni haki"

Alipoulizwa maoni yake kuhusu MCC amesema anasikia watu wanasema wazanzibar wako tayari kufa njaa lakini serikali iachwe huru. "Hivi tunahitaji serikali huru au watu huru? hapa tuna wakoloni wengine" Ameuliza "yaani watu wa Zanzibar wafe njaa kisa Shein awe rais?" haiwezekani!

Dada Fatuma mwahego saidia wwnye akili ikiwezekana zaidi ya hapo ili iwe bora kutimiza haki yako ya kikatiba lakini pia haki ya moyo na roho yako katika kuokoa wengi kutoka utumwa wa KILOFA na KIPUMBAVU. HONGERA SANA. It shows how you feel the pinching squeeze of your people's freedom and democracy plus independence, valuable job yes.
 
Mwanadada jasri na aliyejizolea umaarufu hivi karibuni Fatuma Karume AMELIPUKA, unaweza kusema. Akihojiwa na DW amesema sasa Zanzibar wanaishi kama wanyama maana hawafuati katiba. "Kama wameamu kuondoa utaratibu tuliyojiwekea sasa tuna tofauti gani na wanyama?"

Alipoulizwa kama vitisho vya Ccm havimtishi na kama baba yake hamdhibiti, amesema. "Mimi siyo mbwa wala paka, nina haki yangu ya asili ya kujieleza na kutoa maoni" Amesema babake hawezi kuondoa uhuru wake kisa Ccm.
"Wanataka baba anidhibiti? (kicheko) "nina miaka 46, tena baba ananihimiza kufanya nachoamini ni haki"

Alipoulizwa maoni yake kuhusu MCC amesema anasikia watu wanasema wazanzibar wako tayari kufa njaa lakini serikali iachwe huru. "Hivi tunahitaji serikali huru au watu huru? hapa tuna wakoloni wengine" Ameuliza "yaani watu wa Zanzibar wafe njaa kisa Shein awe rais?" haiwezekani!
huyu sasa amewehuka na ana kiwewe. tumuombee mungu asije kujinyonga.
 
Huyu naye ni mnafiki tu kama walivyo Wazanzibari.

Isingekuwa ubabe wa Baba yake, president Amani Karume ambaye aling’ang’ania madaraka hata Rais Ali Mohamed Shein alisingepatikana wala asingekuwa Rais wa Zanzibar.

Rais Ali Mohamed Shein ni by-product ya utawala wa Rais Amani Karume.
Sasa baba yake anahusika vipi?
 
Ingekuwa vyema sana kama watu tungekuwa tunajibu hoja kwa hoja. Mtu anatoa maoni yake kwa hoja inayoyasupport lakini mwingine anaibuka na kumtusi eti kisa tu hoja iliyo mezani haisupport anachokiamini yyeye

Kweli demokrasia ngumu sana ktk nchi zetu kama hapa tu ambapo kuna wanaojiita magreat thinker inashindwa kufuatwa cjui huko nje itakuwaje
Ilikuwa wakati ule tukiwa GT sasa hivi tulivamiwa na Jf wakalegeza kamba
 
Nilikua napitia website moja hivi ambayo wamiliki wake ni raia Austria nikakuta orodha ya madikteta waliopata kuwepo duniani. Nilishtuka kulikuta jina la Dr. Ally Mohamed Chain. Dah! Kumbe jamaa anajulikana kimataifa.
 
Watu wenye mawazo huru mnaona wanabwabwaja ila wezi na wabakaji wa demokrasia kwenu ndo wanatumia elimu yao inavyotakiwa! Ccm mnahitji kuombewa
She can be charged as an accessory to a crime committed by her Dad, Amani Karume.

Muulize Adolf Hitler na familia yake!
 
Vipi kile kiwacha cha kanisa alichozulumu kasharejesha?
 
Back
Top Bottom