BADO MMOJA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2012
- 2,195
- 1,352
Ok ok lakini kumbuka uongo hupanda lifti bali ukweli hukwea ngazi
Mkuu tuma ile misukule kule imushushe Dr. Shein kwa taarifa yako Seif hatakuja itawala Zanzibar mpaka atakapopumzika kwa amani. Kumbuka pia 1995, 2000, 2005 nini kilitokea kule au ulikuwa umezama ziwa Tanganyika kuchukua vifaa ukakuta chaguzi zilishapita? Kama yule babu aliyekaa chini ya ardhi 45 days kule kahama alivyookolewa akaja na kuuliza hivi Lowasa ndiye Rais akaambiwa ni Magufuli babu akakata roho.