Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Tunahitaji nchi huru... Na siku zaja.. Ccm itang'oka
Huyo mama hazimtoshi uchaguzi umekwishapita na Shein ndiyo Rais hayo anayosema ni sawa na mlevi kusifia pombe ya juzi hayana maana na hayatasaidia zaidi ya kuweka mfaraka kati yake na nduguye ambaye yumo kweny serikali ya Shein .Ameulizwa matusi na vitisho anavyopata kwenye mitandao akasema hakatishwi tamaa yeye ataendelea kusema analoamini ni haki
Aisee nikwambie kitu ndugu yangu zinamtosha sana huyu bibie na yuko njema mno zaidi ya zaidiHuyo mama hazimtoshi uchaguzi umekwishapita na Shein ndiyo Rais hayo anayosema ni sawa na mlevi kusifia pombe ya juzi hayana maana na hayatasaidia zaidi ya kuweka mfaraka kati yake na nduguye ambaye yumo kweny serikali ya Shein .
Exclusively greatHawa ndo wanawake tunawahitaji TZ ya leo. Sio wale wanapigiwa chapuo kwenda bungeni ati kwenda tukana upinzani ati weshaufyatua.
Wanawake wanabaki kudai 50 kwa 50, Ukiisha upata uutendee nini? Huyu anayemwaga point kwani naye anatafuta 50 kwa 50?? Mbona wapo midume mingine kwao huyu ana 60 kwa 40?
B/up sana mama
Waache, kila anayetofautiana nao hazimtoshiAisee nikwambie kitu ndugu yangu zinamtosha sana huyu bibie na yuko njema mno zaidi ya zaidi
Ni kweli historia itasomeka Na uhalisia upo hivyo lkn ukweli lazima usemwe, kakalia kiti ambacho si chake, si haki yake Na si jasho lake, Fatma binti karume endeleaHuyo mama hazimtoshi uchaguzi umekwishapita na Shein ndiyo Rais hayo anayosema ni sawa na mlevi kusifia pombe ya juzi hayana maana na hayatasaidia zaidi ya kuweka mfaraka kati yake na nduguye ambaye yumo kweny serikali ya Shein .
Aisee nikwambie kitu ndugu yangu zinamtosha sana huyu bibie na yuko njema mno zaidi ya zaidi
Ni kweli historia itasomeka Na uhalisia upo hivyo lkn ukweli lazima usemwe, kakalia kiti ambacho si chake, si haki yake Na si jasho lake, Fatma binti karume endelea
Kumbuka yule ni mwanasheria na katiba Zanzibar inatamka wazi kuwa matokeo yakishatangazwa hakuna mamlaka yoyote ile iwezayo kuyatenguaMshana umepotea kama angekuwa njema angalau kuniridhisha mimi angekwenda hata mahakamani kuzuia uchaguzi usifanyike lakini kubwabwaja hakusaidii lolote na kwa kukuthibitishia hilo mshana jnr hebu niambie baada ya kusema hayo aliyosema nini kitatokea au maneno yake yanapunguza au yatabatilisha matokeo ya uchaguzi Seif awe Rais au nini hasa tutarajie baada ya yeye kusema hivyo????
Haki isiyoleta matokeo ni upuuzi bora kukaa kimya na kumbuka alichotakiwa kuzuia uchaguzi usifanyike na siyo kupinga matokeo nielewe hapo bwana mshana, anaweza kuwa mwana sheria lakini bado akawa hamnazo kama anavyouthibitishia umma sasa hivi kabla uchaguzi wa marudio haujafanyika alitakiwa aombe court injunction kuzuia uchaguzi usifanyike ili kesi ya msingi ya kufuta matokeo ijadiliwe lakini sijaona hata mwanasheria mmoja aliyefanya vile zaidi ya kubwabwaja kwenye vyombo vya habari, habari ambazo hazina mashiko wala faida kwa wazanzibari wenzake.Kumbuka yule ni mwanasheria na katiba Zanzibar inatamka wazi kuwa matokeo yakishatangazwa hakuna mamlaka yoyote ile iwezayo kuyatengua
Kwahiyo anachofanya sasa hivi ni siasa uanaharakati na kutoa nyongo , hii ni haki yake kikatiba
Hebu hili tulip muda ukweli utajulikana tuuHaki isiyoleta matokeo ni upuuzi bora kukaa kimya na kumbuka alichotakiwa kuzuia uchaguzi usifanyike na siyo kupinga matokeo nielewe hapo bwana mshana, anaweza kuwa mwana sheria lakini bado akawa hamnazo kama anavyouthibitishia umma sasa hivi kabla uchaguzi wa marudio haujafanyika alitakiwa aombe court injunction kuzuia uchaguzi usifanyike ili kesi ya msingi ya kufuta matokeo ijadiliwe lakini sijaona hata mwanasheria mmoja aliyefanya vile zaidi ya kubwabwaja kwenye vyombo vya habari, habari ambazo hazina mashiko wala faida kwa wazanzibari wenzake.
Unajua nchi hii tuna tatizo kubwa kuona kila anayetofautiana na wewe kama anatenda dhambi. Hamid Nasorro, Mzee Moyo, Awadhi na sasa Fatuma watakuwa maadui wa Ccm kwa sababu wanakosoa makosa ya waafidhina wa chama chao!Kumbuka yule ni mwanasheria na katiba Zanzibar inatamka wazi kuwa matokeo yakishatangazwa hakuna mamlaka yoyote ile iwezayo kuyatengua
Kwahiyo anachofanya sasa hivi ni siasa uanaharakati na kutoa nyongo , hii ni haki yake kikatiba
Ni kweli Magu ni rais wa JMT lkn Si kigezo cha watu kufunga midomo yao, lazima kusemwe na hakutaacha kusemwa, kwa sababu hakupatikana kwa njia sahihi,Kitu ambacho huwezi kukibadilisha ni afadhali usiseme utaonekana mpuuzi hata Magufuli kuna watu walisema amekalia kiti siyo chake lakini ngoma unaionaje??? na Waliosema vile kuna chochote walibadilisha??
Kwa hili la Zanzibar, hata Burundi tumewapiku.Dada nchi hizi za Africa hatuna viongozi bali watawala. Watafanya chochote mradi wabaki kuwa watawala.
Kama hii ya Zanzibar imetuondolea sifa Africa na duniani na kutufanya tufanane na nchi zingine Africa zinazokandamiza democrasi kwa kisingizio chochote
Hebu hili tulip muda ukweli utajulikana tuu
Ok ok lakini kumbuka uongo hupanda lifti bali ukweli hukwea ngaziUkweli umeshajulikana Dr. Shein ndiyo Rais wa Zanzibar hakuna namna mpaka 2021