yaan wanavotoa hoja utadhan ni ya maana au msingi kumbe upuuzi mtupu.ukitaka kujua watu wamekengeuka hapa duniani hawamjali hata Mungu, wapo tayari kuunga mkono hoja ya mwanadamu mwenzao kama fatma hivi, huku wakiipinga waziwazi bilakuogopa, Neno la Mungu. fatma kaongea kibinadamu, Biblia imeongea kukataza, watu wanatukuza fatma kuliko Biblia inavyosema. ni kizazi cha ukaidi na wote wanaokifwata watakula jeuri ya ujeuri wao. ni machukizo mbele za Mungu na mtapata thawabu yenu yote mtakunywa hadi mchuzi na kulamba sahani ya ghadhabu ya Mungu.
Yaan cku hz huwez kaa hata wiki bila kusikia mambo ya ushoga naona huko mbele watakua huru
Naona tutaambiwa dini nazo zimepitwa na wakatiMadam namkubali ila hapa kafeli na wewe pia umefeli kwanini usifiche hiyo namba yake
Naona tutaambiwa dini nazo zimepitwa na wakati
Mashoga na Wasagaji wako huru sana katika nchi hii.Kwani sasa hivi hawapo huru?
makasiriko ya nini sasa mbona sikuelewi?nimecheka sana hadi mbavu zinauma. Khaaah sio kwa makasiriko haya.
sio dini tu, Mungu amekataza ushoga, na kama wewe ni shoga jua kabisa utaenda motoni. badilika.kwahiyo bila kivuli cha dini huna hoja ya kupinga ushoga? Na hiyo dini imetoka wapi?
Ama kweli Tz n kichwa cha wendawazimu.
Huyo Mungu ameandika wapi? Au ktk kitabu gan?sio dini tu, Mungu amekataza ushoga, na kama wewe ni shoga jua kabisa utaenda motoni. badilika.
Poleeeeh.makasiriko ya nini sasa mbona sikuelewi?
Unaweza ukarudia tena, au kuongezea maelezo, kuna sehemu sijaelewa.Mashoga na Wasagaji wako huru sana katika nchi hii.
Wapo na wanajulikana hadi wanaume wanaitwa Anti.
Na hakuna walipo bughudhiwa.
Mfano mzuri ni Yeye Fatuma, na kijana mmoja anaitwa Nyani Ngabu, kama sikosei.
Wanajulikana siku nyingi sana na wanaishi maisha ya furaha na amani kabisa.
Hawajawahi kubughudhiwa miaka yote hii kwakuwa wanafanya chumbani mwao na kwasiri
kabisa.
Kama ishu ni kutaka kupewa haki ya kuthaminiwa vitendo vyao kwamba waruhusiwe kuingia Makanisani na Misikitini huku wamekumbatiana na kubusiana hii hatulitaki.
Kama haki za kisheria Kila Jamii ina haki na sheria kwa Mujibu wa Ustawi wa Jamii Zao.
Jamii yetu hii ina wajibu wa kuzaliana, na kulea vizaji vyake, kwa desturi tulizo rithi toka kwa Asili, iliyo tuweka juu ya Ardhi na Mbingu hii inayotukuza na kutulea.
Customary Law is THE Only natural source of Community, Municiple and definitely International Law.
dhambi zote ni dhambi, including ushoga, kuwepo kwa dhambi nyingine hakuhalalishi kufanyika au kusapoti huo uchafu. pumbafuu.Mkuu hayo sio ya kudili nayo,Nina Imani usikute umeshachepuka nayo ni dhambi.
Vipi na wezi wa raslimali za Taifa letu tuwafanyeje Mana hao ndo wezi wanaoua watu bila ya wao kujua. Kuna mama anazalia njiani ama anazaa afu hakuna watalaamu,dawa hakuna hospital Ila unakuta anahonga Malaya wake hotel ya ghorofa badala ya kuwafanyia watu waliomchagua.
Nadhani hii nguvu ielekezwe huko.
Huwezi ukadili na ya moyoni mwa mtu ukayamaliza.
mi sibishanagi na mashoga, kwenda zako nyau we. najisikia kinyaa.Huyo Mungu ameandika wapi? Au ktk kitabu gan?
Hata wewe hakuna anaye kubughudhi siku zote hizi na unafurahia maisha yako hayo bila shida.Unaweza ukarudia tena, au kuongezea maelezo, kuna sehemu sijaelewa.
Sijazungumzia faida wewe kama kwako ina faida au la ni lako si langu.Faida ya dini ni ipi?
Ni sawa unachosema,pia usitumie matusi tumia maneno mazuri ama ukoo wenu wote ndivyo mlelewa na wazazi na mababu zenu ndicho mlichobahatisha kurithi tokea kwa ancestors wenu.dhambi zote ni dhambi, including ushoga, kuwepo kwa dhambi nyingine hakuhalalishi kufanyika au kusapoti huo uchafu. pumbafuu.
Afu n mwanasheria? Kumbe ulifeli mwenyewe na sio kosa la lectures, poleeeeeehmi sibishanagi na mashoga, kwenda zako nyau we. najisikia kinyaa.
Hivi hoja ya fatuma umeielewa lakini? Wee ndo uliyetaka kuelezaa ukweli ila kuna sehemu umekwama, nafikiri ukielewa vyema hoja yake, utapata jibu na muongozo sahihi.Hata wewe hakuna anaye kubughudhi siku zote hizi na unafurahia maisha yako hayo bila shida.
Nikuulize,
Umewahi kubughudhiwa siku yoyote na kushindwa kufurahia mahusiano yako na mwenza wako hapa nchini tokea uanze Ushoga hadi sasa hivi ?