My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Jinga kubwa wewe mbona huna aibu?Sasa huyo naye anayejiita shangazi badala ya kuwekeza anashinda mtandaoni kulalamika tu. Nishai tupu.
Huyu ni Rais kilaza kuwahi kutokea Duniani, Yaani Namibia nchi tuliyoisaidia kupata Uhuru ni ya kwenda kuwaomba wa invest Tanzania?
Badala ya kuwaomba Marekani, Canada, UK, Germany, Japan anaenda kuomba Damu maiti, anajijua ni Dikteta uchwara hawamtaki ndo maana linazungukia maskini wenzake