Fatma Karume: Mzee kaenda kuomba Namibia

Fatma Karume: Mzee kaenda kuomba Namibia

Asante iko wapi hakuna binadamu mfanya mabaya tu hasa kwa familia ya Fatuma karume ndio maana nauliza Fatuma Karume Ina maana CCM ilifanya mabaya tu kwa familia ya Mzee karume hakuna Jema hata moja ambalo Fatuma Karume anatakiwa apost mitandaoni kusema Asante CCM?
Hayo mazuri yasemeni nyie.

Tulia dawa ikuingie vizuri.
 
Mbona hakumshauri baba yake alipokuwa rais? Mambo mengine watu wanapiga kelele kwa sababu nyingine kabisa na siyo kama wana uchungu na wananchi! Miaka yote nchi yetu imekuwa inasaidiwa na nchi zenye population ndogo kabisa kulinganisha na sisi! Leo ndiyo ameona?
Hoja kwa hoja, Acheni kujibu hoja kwa vioja. Maskini mwenzako atawekeza Nini Cha maana kwako!!!?
 
Unaona zuzu mwingine huyu! Mazee alimpea huo ushauri jikoni? Mbona hakujitokeza hadharani kama sasa?
we utakuwa unakalia ...##@@ kama mwenzio ...maanake unangea ujinga tuuu...sijuwi manfikiria kwa matak......,........we nenda kamshauri baba yako kwenye gazeti au kawatangazie jirani kama ajakuwekaa na alichokutotoa nacho,,...........
kila kitu mnaweka ushabiki wa kik.........maraaaako
 
Back
Top Bottom