Kwa hiyo amenunua ndizi ,pamoja na sinia ?hii itakuwa shopping kubwa!!nadhani ametoka kufanya shoping tuu.
Sio kweli.Duh!"dressing code" haiendani kabisa na biashara anayoifanya!!
TUKUTUKU mbona sioni tatizo hapo, au kwa vile kapendeza kuliko hata anaowauzia???Duh!"dressing code" haiendani kabisa na biashara anayoifanya!!
Sio kweli.
Kila mtu anaheshimu kazi yake, dress code sio ishu sana, ndio sababu mafundi makenika wa Zambia huwa wana tai muda wote, pamoja na kwamba nguo zimejaa grisi
TUKUTUKU mbona sioni tatizo hapo, au kwa vile kapendeza kuliko hata anaowauzia???
true say kiongozi,
Kwa mfano nini kinamzuia kondakta au dereva wa dala dala kuwa smart, labda kwa vile hata wateja tumezoea mazingira ya uchafu....
Duh!"dressing code" haiendani kabisa na biashara anayoifanya!!
Mazoea ndiyo mila na desturi ya binadamu katika maeneo wanayoishi,kinyume na hapo ni maajabu na vituko!!kwa mfano ukimwona mtu amevaa chupi kichwani lazima utamwona amechanganyikiwa,kwani mazoea ni kumwona mtu amevaa kofia kichwani na wala siyo chupi!!unachokisema wewe ni mazoea tu