Nimechoka kwenda kazini na magari sasa ninataka kununua helikopta ili niwe nawahi kazini. Naombeni taratibu za umiliki

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,330
4,854
Wakuu mambo yasiwe mengi.

Kabla ya huu mwaka kwisha ninampango wa kununua helikopta niwe napigia misele hapa town kwa mfano nikitaka kwenda ofisini asubuh na kurudi nayo jioni nyumbani mana mambo ya kukaa foleni nimejiona nachelewa sana kazini.

Naombeni kujua ni chopa gani nzuri kwa kwenda nayo kazini, bajeti yangu ni kama bilioni 6 sijajua itakizi au niongeze ngapi ili ifiti hitaji langu.
 
Hawa hapa wauzaji wanakuletea mzigo hadi nyumbani kwako. Hii ni chopper ndogo ya watu 4 ila unaweza waulizia wakakupatia brand na model tofauti ya hii.
Screenshot_20240129_135924.jpg
View attachment 2887043View attachment 2887044
 
Me nakupa makavu unasema nina matatizo ya akili haya ngoja nikutafute wauzaji tuone utafikia wapi
mkuu nipo serious we nipe chimbo na abc zake ili ujue kama mwamba natania au vp ya maji ipo mkuu kama huamin njoo pm nikutumie picha za kias cha pesa nilichoandaa mana usije ukazan jamaa kama kadata au ni mtu wa masikhara hapana mi nataka kujua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom