Nyimbo zenye uvuvio ni mpya kila siku hivyo usimshangae..inawezekana Roho wa Mungu kajifunua kwake leo kupitia wimbo huo wa sifa na kuabuduNdo umeuona leo huu wimbo au? Mbona miaka kitambo saana zaidi ya 20?
Umepata?Mwenye audio ya huu wimbo please naomba hapa
Ndio boss asante sanaUmepata?