Father of All yupo kazini hapa Mweeee

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
558_433882483331496_1896507531_n.jpg
 
Duh!"dressing code" haiendani kabisa na biashara anayoifanya!!
Sio kweli.
Kila mtu anaheshimu kazi yake, dress code sio ishu sana, ndio sababu mafundi makenika wa Zambia huwa wana tai muda wote, pamoja na kwamba nguo zimejaa grisi
 
Duh!"dressing code" haiendani kabisa na biashara anayoifanya!!
TUKUTUKU mbona sioni tatizo hapo, au kwa vile kapendeza kuliko hata anaowauzia???

Sio kweli.
Kila mtu anaheshimu kazi yake, dress code sio ishu sana, ndio sababu mafundi makenika wa Zambia huwa wana tai muda wote, pamoja na kwamba nguo zimejaa grisi

true say kiongozi,
Kwa mfano nini kinamzuia kondakta au dereva wa dala dala kuwa smart, labda kwa vile hata wateja tumezoea mazingira ya uchafu....
 
Last edited by a moderator:
TUKUTUKU mbona sioni tatizo hapo, au kwa vile kapendeza kuliko hata anaowauzia???

true say kiongozi,
Kwa mfano nini kinamzuia kondakta au dereva wa dala dala kuwa smart, labda kwa vile hata wateja tumezoea mazingira ya uchafu....

Ni kweli bro, makonda (naongelea wale wa daladala)wameamua kujiweka wachafu kwa makusudi tu. Wale wa magari ya masafa marefu ni wasafi na wanazijali sana jezi zao

unachokisema wewe ni mazoea tu
Mazoea ndiyo mila na desturi ya binadamu katika maeneo wanayoishi,kinyume na hapo ni maajabu na vituko!!kwa mfano ukimwona mtu amevaa chupi kichwani lazima utamwona amechanganyikiwa,kwani mazoea ni kumwona mtu amevaa kofia kichwani na wala siyo chupi!!
 
"Wanangu" wala msishangae ni mambo madogo tu,hivi kwa nini anapenda kusema "mwanangu"?yeye ni mzee?jf is never boring.
 
Back
Top Bottom