Kipindi cha high season mf Serengeti kuna viwanja kama seronera,Kogatende,ndutu,Kirawira,Lobo Airstrips ndege zinazotua viwanja hivyo vya vumbi ni nyingi mno!!!Imagine hizo flights zingelikuwa ni mali ya nchi tungelikuwa wapi? Makampuni ya wajanja yamepiga pesa sana ktk sekta hii.