Fastjet kama itawapendeza warudi Tanzania, ilitufaa sana

Twayemba

Member
Jan 29, 2024
12
14
Yawezekana mazingira ya kufanya biashara ya safari za ndege nchini kwa wakati ule ilikuwa ngumu, ndio maana fastjet wakaondoka, lakini kwa sasa nchi imetulia, na nimekuwa nasikia wawekezaji wa nje wanakaribishwa nchini kuwekeza.

Basi na Fastjet wahakikishiwe usalama wa biashara yao ili warejee nchini.
 
Ila fast jet waliondoka kihuni sana watu tumeshakata tickets ghafla unaambiwa safari hamna tena na nauli zetu hazikurudishwa hadi leo ofisi zao wakafunga ghafla.
 
Nadhani matajiri wetu wajitose huko, kuliko kukimbilia kwenye mabus kila siku, wanaweza pambana kwenye ndege pia, kujaribu sio kushindwa
 
Ni kweli.kabisa mimi.mwenyewe nowadai hela zangu za tiketi
Wadai ni wengi!, waliokuwq wafanyakazi wao, Wanadaiwa na Wauza mafuta ( Puma), Airport Authority, Mamlaka ya usafili wa anga, Hali ya hewa, handling company etc..
 
Ila fast jet waliondoka kihuni sana watu tumeshakata tickets ghafla unaambiwa safari hamna tena na nauli zetu hazikurudishwa hadi leo ofisi zao wakafunga ghafla.
Hujataka kudai tu tena na fidia.
 
Sema bei zake zilikuwa kitonga mnoooo,
Hazikuwa kibiashara, bei za airtanzania zipo kibiashara, ila zimezidi aisee
 
Back
Top Bottom