laptop90
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,813
- 2,266
Hata hizo ndege za ATCL zitaishia kuwa mapanki mda sii mrefu, hatuwezi ku run biashara ya anga, akibisha mtu basi mwendawazimuHabari wadau!
Katika hali ya kuhuzunisha na kuondoa hali ya ushindani nchini wa usafiri wa anga. Shirika la ndege la fast jet limeanza kufunga virago Tanzania kwa mazingira magumu ya uwekezaji na serikali kuwanyima vibali vya baadhi ya rout na kuwanyima kibali cha kuingiza ndege mpya nchini.
Mkurugenzi wa shirika hilo kathibitisha kufunga virago kwa kushindwa kuwa na mazingira rafiki ya uwekezaji na kutotoa uwanja mpana wa ushindani