POleni Fast jet. CCM ni msalaba wa jumuia sasa ni zamu yenu ibada kufanyikia kwenu. Hata sisi wengine tumepitia huko na tumezoea. Karibuni uraiani. Kilimo cha ngogwe kinalipa sana huku mtaani. Tenga ni elf 2500 bei nzuri mno.Habari wadau!
Katika hali ya kuhuzunisha na kuondoa hali ya ushindani nchini wa usafiri wa anga. Shirika la ndege la fast jet limeanza kufunga virago Tanzania kwa mazingira magumu ya uwekezaji na serikali kuwanyima vibali vya baadhi ya rout na kuwanyima kibali cha kuingiza ndege mpya nchini.
Mkurugenzi wa shirika hilo kathibitisha kufunga virago kwa kushindwa kuwa na mazingira rafiki ya uwekezaji na kutotoa uwanja mpana wa ushindani