Wanawake wanaacha vibaya sana wanaume tuchukue tahadhari mapema

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu zangu.

Katika ulimwengu wa mahusiano tusijisahau sana wakuu, hawa wanawake tunawapenda ila wanatuacha vibaya sana

Wakuu haijalishi wanawake wana ulimi wa kubembeleza, haijalishi uzuri wake alionao , haijalishi wanatupa utelezi, haijalishi wana mishepu mizuri mizuri ya kufungasha na wengine vimodo na wenye vishepu vya uchokozi ndugu usipumbazwe kabisa na jinsi walivyo hawa viumbe ni wajanja sana na wanatuonaga kama sisi wanaume hatuna akili.

Ukiona red flag yeyote kutoka kwa hawa dada zetu anzeni kuchukua tahadhari mapema ikibidi upunguze mwendo maana mwendo mkali ni hatari kwa afya yako, usikae kubembeleza au kung'ang'ania mwanamke mmoja muda mrefu na huku ukijiambia nakujiapiza ipo siku atabadilika ndugu yangu utapigwa na kitu kizito mfano hakuna.

WANAUME UKIWA NA MPENZI WAKO , USIACHE KUSALIMIA WANAWAKE WA PEMBENI IPO SIKU WATAKUA TIBA YAKO.
 
Bahati mbaya sana, Mpaka yakukute ndo utapata akili, kwa ambaye hayajamkuta anaona kama wewe ni mjinga tu.

Lakini ulichosema ndo ukweli, penda na bakiza akiba. Na mara moja moja mtest huyo mtu wako jidai unapitia kipindi kigumu hata kama mambo yako ni mazuri halafu uone reaction yake.
 
Ndugu zangu.

Katika ulimwengu wa mahusiano tusijisahau sana wakuu, hawa wanawake tunawapenda ila wanatuacha vibaya sana

Wakuu haijalishi wanawake wana ulimi wa kubembeleza, haijalishi uzuri wake alionao , haijalishi wanatupa utelezi, haijalishi wana mishepu mizuri mizuri ya kufungasha na wengine vimodo na wenye vishepu vya uchokozi ndugu usipumbazwe kabisa na jinsi walivyo hawa viumbe ni wajanja sana na wanatuonaga kama sisi wanaume hatuna akili.

Ukiona red flag yeyote kutoka kwa hawa dada zetu anzeni kuchukua tahadhari mapema ikibidi upunguze mwendo maana mwendo mkali ni hatari kwa afya yako, usikae kubembeleza au kung'ang'ania mwanamke mmoja muda mrefu na huku ukijiambia nakujiapiza ipo siku atabadilika ndugu yangu utapigwa na kitu kizito mfano hakuna.

WANAUME UKIWA NA MPENZI WAKO , USIACHE KUSALIMIA WANAWAKE WA PEMBENI IPO SIKU WATAKUA TIBA YAKO.
Mkuu mwanamke ni kumuweka kwenye suspense, full time.
Penda upendavyo lakini lazima iwepo plan B na Plan C.
 
Back
Top Bottom