Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

Meaning ni uwanja wa mapambano. Lazima uwe mpiganaji to survive.

Bro did u just turn18 ?? Tehe

Then your use 'military' is inappropriate diction.

You can't say 'life is a military' to mean 'maisha ni uwanja wa mapambano'.

You could have easily said 'life is a battlefield' .

But life is a 'military'? Who taught you English?
 
Sawa nimekuelewa tuition teacher. I'm a big fan of Tupac. Hyo line nimeitoa kwenye track yake

" This life i lead ".

I am a Tanzanian. I'm good in swahili than English.
 
Kanana23, Mungu atakusaidia mdogo wangu usikate tamaa, kazi njema aliyoianza kwako ataikamilisha.

Kwa maisha uliyoishi ktk familia yenu, na majaribu uliyopitia, ukitumia uzoefu huo vizuri utakuwa mzazi mzuri sana.

Vv
 
Habari Jf,

Naandika hapa mpaka nasikia kufa.

Nimezaliwa katika familia ya watoto watatu kwa mama yangu ingawa baba ana familia nyingine so my mom ni kama mke mdogo.

Toka nakua familia yangu haikua katika maelewano mazuri ( matatizo ya mitara).

Baba yangu alikua mtu anayejiweza (ameshastaafu).

Alikua Muhandisi wa mkoa enzi hizo kwa hiyo tulikua tunaishi kawaida mama yangu pia ni mtumishi wa Serikali.

Lakini katika makuzi yetu baba yetu hakua responsible kabisa kuhusu sisi.

Mama yetu yeye ndo alijua kula yeti,vaa yetu,na elimu pia alijitahid kadri ya uwezo wake tusome mpaka tukafika chuo.

Dada yetu mkubwa kamaliza chuo mimi ndo namalizia mwaka wa tatu.

Baba yangu toka nianze kusoma hajawai kunilipia even a single sent japo uwezo alikua nao na anao.

Kwasababu amepata mafao yake (story ni ndefu nikiandika maisha na vimbwanga vya familia yetu ni kitabu kabisa).

To cut the story hivi mimi nipo mwaka wa mwisho chuoni najiandaa na University exams.

Jumatatu sasa katika kuclear nikajikuta nadaiwa basi nikampigia mama yangu simu kumuelezea hali halisi kasema hana pesa.

Basi katika kuhangaika ikabidi nimpigie baba yangu yani kanikatalia katakata.

Nimejikuta nalia sijui cha kufanya mpaka najiuliza kama tulizaliwa kimakosa au vip.

Eeeh mungu nisaidie uniondolee roho ya kisasi dhidi ya mzee wangu.

NB: Nashindwa cha kufanya kuhusu huyu mzazi wangu.

Mkuu ni kama mimi ila mm ni wa mke mkubwa.. usijali kuongezeka kwa giza nene ndio pambazuko lina karibia.
 
Mlaumu mama yako kwa kuingilia ndoa ya mwanamke mwenzie hadi kuwazaeni nyinyi. mnaumia sababu ya dhambi ya mama yenu.
 
Kanana23, Mungu atakusaidia mdogo wangu usikate tamaa, kazi njema aliyoianza kwako ataikamilisha.

Kwa maisha uliyoishi ktk familia yenu, na majaribu uliyopitia, ukitumia uzoefu huo vizuri utakuwa mzazi mzuri sana.

Vv

Asante ndugu ubarikiwe.. Yeah namuomba mungu anijaalie niwe mama bora
 
Mlaumu mama yako kwa kuingilia ndoa ya mwanamke mwenzie hadi kuwazaeni nyinyi. mnaumia sababu ya dhambi ya mama yenu.

Kwa hiyo unahisi mama yangu ndo mwenye dhambi vipi kuhusu baba alieamua kuzaa watoto ambao alijua kesho hataweza kuwatunza...asante lakini kwa mawazo yako
 
Kilio chako ni kama kilio cha mtu amuombae MUNGU viatu baada ya mateso ya kutembea peku muda mrefu!

Unatakiwa kukumbuka kuwa kuna watu ambao hata hiyo miguu ya kuvalia viatu hawana na ukilema wao sio wa ajali bali wa kuzaliwa

Mshukuru MUNGU kwani alichokupa so far ni kizuri sana tu!
Habari Jf,

Naandika hapa mpaka nasikia kufa.

Nimezaliwa katika familia ya watoto watatu kwa mama yangu ingawa baba ana familia nyingine so my mom ni kama mke mdogo.

Toka nakua familia yangu haikua katika maelewano mazuri ( matatizo ya mitara).

Baba yangu alikua mtu anayejiweza (ameshastaafu).

Alikua Muhandisi wa mkoa enzi hizo kwa hiyo tulikua tunaishi kawaida mama yangu pia ni mtumishi wa Serikali.

Lakini katika makuzi yetu baba yetu hakua responsible kabisa kuhusu sisi.

Mama yetu yeye ndo alijua kula yeti,vaa yetu,na elimu pia alijitahid kadri ya uwezo wake tusome mpaka tukafika chuo.

Dada yetu mkubwa kamaliza chuo mimi ndo namalizia mwaka wa tatu.

Baba yangu toka nianze kusoma hajawai kunilipia even a single sent japo uwezo alikua nao na anao.

Kwasababu amepata mafao yake (story ni ndefu nikiandika maisha na vimbwanga vya familia yetu ni kitabu kabisa).

To cut the story hivi mimi nipo mwaka wa mwisho chuoni najiandaa na University exams.

Jumatatu sasa katika kuclear nikajikuta nadaiwa basi nikampigia mama yangu simu kumuelezea hali halisi kasema hana pesa.

Basi katika kuhangaika ikabidi nimpigie baba yangu yani kanikatalia katakata.

Nimejikuta nalia sijui cha kufanya mpaka najiuliza kama tulizaliwa kimakosa au vip.

Eeeh mungu nisaidie uniondolee roho ya kisasi dhidi ya mzee wangu.

NB: Nashindwa cha kufanya kuhusu huyu mzazi wangu.
 
Pole mwaya

Nilisha poa kitambo na ALAH' amenifungulia milango ya kheri nina maisha yangu mazuri na familia yenye furaha.. ila nilishamsamehe huyo mzee yeye ndio anaona aibu na hofu tele mpaka najisikia huruma
 
Hongera sana nitajitahidi nami niwe kama wewe mkuu
 
kanana23, usikufuru. Una hali nzuri sana. Kila mtu akiongelea magumu yake hutaamini. Tafuta kibarua, pata ada maliza chuo mengine mbele ya safari.

Hakuna laana hata chembe kwenye uliyoongelea.

Mkuu hilo ndio jibu sawia kwa maana kila mtu akimua kufunguka matatizo yake, JF itatikisika!
 
Last edited by a moderator:
Endelea na maisha yako kama zamani. Tafuta msaada kwa ndugu wengine. Kama tangu zamani hawajali wewe endelea na masiha na mama yako. Ndio nyinyi baadae mama yako kahangaika mwishoni unakuja kuanza kuelekea kwa baba yako ambae hata alikuwa hana habari na wewe. Umefika chuo shukuru Mungu wako na mama yako.
 
Sumu km hii unayoipanda kichwani kwa mleta uzi,haina tofauti na sumu aliyolishwa na mama yake. Kwanza ni matusi kumshauri mtu mwenye elimu ya chuo akaombe msaada wa ndugu..! Lkn kitu kingine unachojaribu kumwambia a-deal na mama yake aliyemfikisha hapo,bado ni udhaifu kwa sababu haya uliyosikia ni ya upande mmoja. Ukitaka umshauri vizuri,omba ufike kwao usikie maelezo ya baba ambayo nna uhakika huenda yakakuliza!! Huyu ana maumivu makali ya kisaikolojia,na kwa vile yeye mwenyewe hajagundua km tatizo lipo kwake,ni vigumu kweli kumsaidia!
 
Maisha hayawezi kumnyokea kama ataendelea na tabia aliyofundishwa na mama yake ya kumdharau baba yake na kumtafuta pale tu anapokuwa na tatizo

Lakini baba ndie anatakiwa kuwa karibu na watoto toka wakiwa wadogo ili watoto nao wawe karibu nae na wamthamini kama baba yao, ila kama baba unakuwa mbali na watoto ukitegemea wakutafute wewe hapo ni tatizo.
 
Hawa wazee wetu nao wajaribu kutulia na mke mmoja kuepusha usumbufu na shida kama hizi.
 
Sawa nimekuelewa tuition teacher. I'm a big fan of Tupac. Hyo line nimeitoa kwenye track yake

" This life i lead ".

I am a Tanzanian. I'm good in swahili than English.

Naona unaendelea kuchapia tu kingereza, andika Kiswahili tu mwanzo mwisho.
 
huyo sio baba ako mzazi mwambie mama yako akupeleke kwa baba ako mzazi
 
Back
Top Bottom