Bado hujaeleza nini unataka toka kwetu, umebwabwaja tu.
What exactly do u want ??
Ana share life experience yake wewe unamuuliza what exactly do you want? Du kweli hii kiboko
kama mama amekiri babayako muombee tu kuna familia ama kabila mama anaolewa jina.tu.muwajibikaji n.mamaahabari jf,
naandika hapa mpaka nasikia kufa.
Nimezaliwa katika familia ya watoto watatu kwa mama yangu ingawa baba ana familia nyingine so my mom ni kama mke mdogo.
Toka nakua familia yangu haikua katika maelewano mazuri ( matatizo ya mitara).
Baba yangu alikua mtu anayejiweza (ameshastaafu).
Alikua muhandisi wa mkoa enzi hizo kwa hiyo tulikua tunaishi kawaida mama yangu pia ni mtumishi wa serikali.
Lakini katika makuzi yetu baba yetu hakua responsible kabisa kuhusu sisi.
Mama yetu yeye ndo alijua kula yeti,vaa yetu,na elimu pia alijitahid kadri ya uwezo wake tusome mpaka tukafika chuo.
Dada yetu mkubwa kamaliza chuo mimi ndo namalizia mwaka wa tatu.
Baba yangu toka nianze kusoma hajawai kunilipia even a single sent japo uwezo alikua nao na anao.
Kwasababu amepata mafao yake (story ni ndefu nikiandika maisha na vimbwanga vya familia yetu ni kitabu kabisa).
To cut the story hivi mimi nipo mwaka wa mwisho chuoni najiandaa na university exams.
Jumatatu sasa katika kuclear nikajikuta nadaiwa basi nikampigia mama yangu simu kumuelezea hali halisi kasema hana pesa.
Basi katika kuhangaika ikabidi nimpigie baba yangu yani kanikatalia katakata.
Nimejikuta nalia sijui cha kufanya mpaka najiuliza kama tulizaliwa kimakosa au vip.
Eeeh mungu nisaidie uniondolee roho ya kisasi dhidi ya mzee wangu.
Nb: Nashindwa cha kufanya kuhusu huyu mzazi wangu.
Unajifanya umeandika kwa uchungu sana km vile kuna tatizo kubwa sana kati yako na baba yako wakati tatizo ni ni hilo moja tu ameshindwa kukupa pesa uliyotaka.Habari Jf,
Naandika hapa mpaka nasikia kufa.
Nimezaliwa katika familia ya watoto watatu kwa mama yangu ingawa baba ana familia nyingine so my mom ni kama mke mdogo.
Toka nakua familia yangu haikua katika maelewano mazuri ( matatizo ya mitara).
Baba yangu alikua mtu anayejiweza (ameshastaafu).
Alikua Muhandisi wa mkoa enzi hizo kwa hiyo tulikua tunaishi kawaida mama yangu pia ni mtumishi wa Serikali.
Lakini katika makuzi yetu baba yetu hakua responsible kabisa kuhusu sisi.
Mama yetu yeye ndo alijua kula yeti,vaa yetu,na elimu pia alijitahid kadri ya uwezo wake tusome mpaka tukafika chuo.
Dada yetu mkubwa kamaliza chuo mimi ndo namalizia mwaka wa tatu.
Baba yangu toka nianze kusoma hajawai kunilipia even a single sent japo uwezo alikua nao na anao.
Kwasababu amepata mafao yake (story ni ndefu nikiandika maisha na vimbwanga vya familia yetu ni kitabu kabisa).
To cut the story hivi mimi nipo mwaka wa mwisho chuoni najiandaa na University exams.
Jumatatu sasa katika kuclear nikajikuta nadaiwa basi nikampigia mama yangu simu kumuelezea hali halisi kasema hana pesa.
Basi katika kuhangaika ikabidi nimpigie baba yangu yani kanikatalia katakata.
Nimejikuta nalia sijui cha kufanya mpaka najiuliza kama tulizaliwa kimakosa au vip.
Eeeh mungu nisaidie uniondolee roho ya kisasi dhidi ya mzee wangu.
NB: Nashindwa cha kufanya kuhusu huyu mzazi wangu.
Unajifanya umeandika kwa uchungu sana km vile kuna tatizo kubwa sana kati yako na baba yako wakati tatizo ni ni hilo moja tu ameshindwa kukupa pesa uliyotaka.
Mkuu kanana23 kitendo unachokifanya cha kutoka hadharani km hivi kumpakazia baba yako,unajitafutia laana kubwa sana ktk maisha yako. Me nimesoma saikolojia,kinachokusumbua ww ni dhana uliyojengewa kichwani mwako na mama yako kuhusu ubaya wa baba yako. Kiuhalisia baba yako hana makosa unayodhani anayo,hebu fikiria km angekuwa na huo ubaya mngezaliwa vp watoto 3.!!? Kumbuka pia mama yenu ndo mwenye shida zaidi kwa sababu aliingilia ndoa nyingine.
Kwa sababu ya ubinafsi wa mama yenu,baada ya kuolewa nadhani alitaka kila kitu apate yeye,kitendo ambacho baba yako hukukubali.
Alivyoona haiwezekani,akaamua kuhamishia ubinafsi huo kwenu kwa kuwajengea chuki dhidi ya baba yenu. Na nyinyi kwa kukosa uwezo wa kutafsiri mambo,kila kitu mnachoambiwa na mama yenu mnakiamini. Mtazamo wake hapa anataka mkifanikiwa muwe upande wake zaidi na msijali km mna baba. Kuna uwezekano mkubwa baba yenu kafanya mambo makubwa sana kwenu kuliko mlivyoaminishwa.
Maoni na ushauri wangu;
Jaribu kuitumia elimu kidogo uliyonayo kukaa na baba yako uongee nae kwa upendo. Ktk kufanya hivyo,usikurupuke anza kwanza kuonyesha upendo kwa baba kwa baba yako ili uwe karibu nae. Maana kuna ukuta mkubwa umewekwa kati yenu ambao ni lazima uubomoe..! Halafu ukishakuwa chuo,ww ni mtu mzima tayari,anza kutengeneza fursa ya kuondoa utegemezi kwa wazazi. Naamini sitakuwa adui yako kwa kukueleza ukweli.

Kinachoonekana ktk hii familia mama ni mbinafsi na alitaka wawe na mvutano na mzazi mwenzie wa kuwaonyesha watoto yeye ana mapenzi zaidi kuliko baba yao. Mfano;mtoto akienda kwa baba kuomba hela ya matumizi shuleni,baba akimpa elfu 5,mama anamuuliza mtoto baba yako amekupa sh.ngapi!!? Mtoto akisema elfu 5 mama anamlalamikia mume wake mbele ya mtoto! Lkn akimpa yeye sh.elfu moja atasema;nimekupa fedha yote niliyokuwa nayo na huu ni upendo wa mama! Yaani nakuambia ukweli mkuu Senior Boss huyu baba anayesemwa vibaya hapa,ukipata maelezo yake utakuta ni moja ya wanaume bora kabisa hapa tanzania.Una busara sanaa mkuu. Nliwaza kitu kama hiki.
Una busara sanaa mkuu. Nliwaza kitu kama hiki.
Jambo usilolijua ..omba tu usipate familia Ka yanguKinachoonekana ktk hii familia mama ni mbinafsi na alitaka wawe na mvutano na mzazi mwenzie wa kuwaonyesha watoto yeye ana mapenzi zaidi kuliko baba yao. Mfano;mtoto akienda kwa baba kuomba hela ya matumizi shuleni,baba akimpa elfu 5,mama anamuuliza mtoto baba yako amekupa sh.ngapi!!? Mtoto akisema elfu 5 mama anamlalamikia mume wake mbele ya mtoto! Lkn akimpa yeye sh.elfu moja atasema;nimekupa fedha yote niliyokuwa nayo na huu ni upendo wa mama! Yaani nakuambia ukweli mkuu Senior Boss huyu baba anayesemwa vibaya hapa,ukipata maelezo yake utakuta ni moja ya wanaume bora kabisa hapa tanzania.
Pole sana nadhani bado hujanielewa! Hawezi kuwaambia mjenge chuki lkn lazima kuna mambo anayofanya ili aonekane yeye ni mama mwenye upendo zaidi kuliko baba yenu. Natamani ungekuwa karibu tuongee nikupe na baadhi ya vitabu usome ili ujue nnachokueleza ni ndicho kilichopo ktk familia yenu.soma mfano kidogo hapo nilipom-quote Senior BossNo don't say that kuhusu mama yangu kwa sababu hajawahi kutuambia tumchukie baba yetu huwez amini huu ni mwaka wa kumi wanaishi nyumba moja vyumba tofauti na sie bado tunaishi nae Though kila mtu na maisha yake.by the way asante kwa ushauri najitahidi lakini ingawa ni ngumu
Ndugu...kuna life struggles ziaid yako, usione watu wanatembea barabarani lakini wamebeba mengi kwenye vifua vyao. Wewe shukuru shule umeiona na mpaka uko chuoni. Huyo baba hakuwa responsible toka mwanzo kwanini sasa utegemee kuwa atakusaidia.
Fanya hivi, assume he's dead, utaishi maisha ya stressless. Usifanye juhudi ya mamako ya kukufikisha hapo ilipo ipoteee, haya ni mapito tu ya kidunia.
cc kanana23