Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

kanana23

Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
35
Reaction score
12
Habari Jf,

Naandika hapa mpaka nasikia kufa.

Nimezaliwa katika familia ya watoto watatu kwa mama yangu ingawa baba ana familia nyingine so my mom ni kama mke mdogo.

Toka nakua familia yangu haikua katika maelewano mazuri ( matatizo ya mitara).

Baba yangu alikua mtu anayejiweza (ameshastaafu).

Alikua Muhandisi wa mkoa enzi hizo kwa hiyo tulikua tunaishi kawaida mama yangu pia ni mtumishi wa Serikali.

Lakini katika makuzi yetu baba yetu hakua responsible kabisa kuhusu sisi.

Mama yetu yeye ndo alijua kula yeti,vaa yetu,na elimu pia alijitahid kadri ya uwezo wake tusome mpaka tukafika chuo.

Dada yetu mkubwa kamaliza chuo mimi ndo namalizia mwaka wa tatu.

Baba yangu toka nianze kusoma hajawai kunilipia even a single sent japo uwezo alikua nao na anao.

Kwasababu amepata mafao yake (story ni ndefu nikiandika maisha na vimbwanga vya familia yetu ni kitabu kabisa).

To cut the story hivi mimi nipo mwaka wa mwisho chuoni najiandaa na University exams.

Jumatatu sasa katika kuclear nikajikuta nadaiwa basi nikampigia mama yangu simu kumuelezea hali halisi kasema hana pesa.

Basi katika kuhangaika ikabidi nimpigie baba yangu yani kanikatalia katakata.

Nimejikuta nalia sijui cha kufanya mpaka najiuliza kama tulizaliwa kimakosa au vip.

Eeeh mungu nisaidie uniondolee roho ya kisasi dhidi ya mzee wangu.

NB: Nashindwa cha kufanya kuhusu huyu mzazi wangu.
 
Pole saana, ila usijali saana ingawa inaumiza. Cha msingi vile mama amejitahidi mkasoma, mshukuruni Mungu, na mumuombe awape nafasi ya kuonesha upendo kwa watoto wenu, itawasaidia kusahau hayo yote.
 
Wale wazee wa kujiongeza, fursa hiyo
 
Habari Jf...
Naandika hapa mpaka nasikia kufa..nimezaliwa katika familia ya watoto watatu kwa mama yangu ingawa baba ana familia nyingine so my mom ni kama mke Mdogo.toka nakua familia yangu haikua katika maelewano mazuri( matatizo ya mitara).
Baba yangu alikua mtu anayejiweza(ameshastaafu) alikua muhandisi wa mkoa enzi hizo kwa hiyo tulikua tunaishi kawaida ,mama angu pia ni mtumishi wa serikal.lakini katika makuzi yetu baba yetu hakua responsible kabisa kuhusu sisi, mama yetu yeye ndo alijua kula yeti,vaa yetu,na elimu pia alijitahid kadri ya uwezo wake tusome mpaka tukafika chuo.Dada yetu mkubwa kamaliza chuo Mimi ndo namalizia mwaka wa tatu.
Baba yangu toka nianze kusoma hajawai kunilipia even a single sent japo uwezo alikua nao na anao kwa sababu amepata mafao yake(story ni ndefu nikiandika maisha na vimbwanga vya familia yetu ni kitabu kabisa).
To cut the story hivi Mimi nipo mwaka wa mwisho chuoni najiandaa na university exams jumatatu sasa katika kuclear kea bursar nikajikuta nadaiwa basi nikampigia mama yangu simu kumuelezea hali halisi kasema hana pesa basi katika kuhangaika ikabidi nimpigie baba yangu yani kanikatalia katakata.. Nmejikuta nalia sijui cha kufanya mpaka najiuliza kama tulizaliwa kimakosa au vip eeeh mungu nisaidie uniondolee roho ya kisasi dhidi ya Mzee wangu..
Nb: nashindwa cha kufanya kuhusu huyu mzazi wangu

Haijanshtua kama nlivitogemea kias cha kutoona umuhimu wa kukupa pole
 
Pole saana, ila usijali saana ingawa inaumiza. Cha msingi vile mama amejitahidi mkasoma, mshukuruni Mungu, na mumuombe awape nafasi ya kuonesha upendo kwa watoto wenu, itawasaidia kusahau hayo yote.

Ndo cha msingi sema nasali sana nahisi ntafanya kitu kibaya kwa baba huyu
 
Ebu nenda prep huko kajiandaye na mtihani acha upuuzi wako. Utakuwa mtoto wa mama sana wewe na anayekuaribu ni huyo mama yako.
 
Uliza wewe Mkuu. Kuna Watu hawakupata hata kuona hata sura za Wazazi, fee ya kuungaunga, manyanyaso ya ndugu lakini leo wamesimama. Itakuwa huyu ana Wazazi, shule kapita, na sasa anamaliza chuo

Life z a military, u got to be a soldier.

Simkufuru Mungu, Ila kikubwa ni kuishi vizuri na watu. No one has ever graduated in the school of life we just differ from experiences.

Jamaa yuko position nzuri sanaa....kuna watu things have never been straight in their lives but still they survive.
 
Pole sana
Familia yako haijalaaniwa
Ni matokeo ya nyumba ndogo (sorry kuiita hivyo)

Mwisho wa siku Hawa wanaume wanarudi(gi) kwenye familia zao.

Sasa kama sio responsible ndio pale watoto wa mama mwingine wanapopata taabu bila sababu

Pole sana.
 
Ukizaliwa katika familia ambayo unasema 'kwa bab tuko wanne sijui,na kwa mama tuko watatu'
ujue kazi kubwa ipo hapo

Majority ya familia hizo huwa na maugomvi na migogoro isiyokwisha

Ni bahati mno ukijikuta mmezaliwa watoto wote baba mmoja na mma mmoja

yanayokukuta wewe ni madogo kuna watu yamewakuta makubwa kuliko yako
kuna kushikana uchawi na watoto wa baba mmoja au mmama moja kutozungumza
wala kusalimiana
 
Mambo ya wazazi achana nayo. Fight for your life. Mi mshua aliondoka home nikiwa namaliza form four hakurudi na akaja kurudi home mimi ndo nipo chuo mwaka wa kwanza naambiwa mshua amerudi home. Ko mpaka nimemaliza chuo sijawahi pewa assistance yoyote home na kibaya nilipewa 50% na bodi so ilibidi nitumie boom kulipa Ada.

Nashukuru nilimaliza chuo salama nimerudi home mshua yupo though mother bado anakumbuka ile moment ya kuwa wenyewe watoto 3 bila mshua alafu yeye aki hustle mwenyewe.

Ila mimi huwaga napotezea hiyo ligi ya wazazi. Sitaki kukumbuka ya nyuma wala sijawahi kumlaumu mshua. Nimechukulia ni struggle za maisha so vyovyote ilivyokua respect to father.
 
Kwanini usuchukulie baba yako alishakufa? Hiyo ni simple way yakumsahau kabisa then ufikirie MTU mwingine wakukusaidia, pia familia uluotokea wewe minaona kama kawaida ndio familia nyingi ziko hivyo tena yakwenu naona IPO vizuri ila Pole maana bado ni mdogo hujaweza bado kukabiliana na magumu au niseme labda hujawahi kukutana na magumy
 
Back
Top Bottom