Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

Inaelekea mama yao aliachana na huyo baba yao wskiwa wadogo. Pia inaelekea mama ni kibri sana na amefanikiwa kupandikiza chuki kwa watoto tangu wakiwa wadog. Pia kuna uwezekano mkubwa mama alijenga mazinga ambayo sio rafiki kwa mzee kwenda kuona watoto wake. Hakuna baba atakayeacha kuwajibika kwa watoto wake nila sababu. Tuliona hata kwa marehemu Kanumba alivyokuwa amepandikizwa chuki dhidi ya baba yake, na yeye kukua akiwa anamchukia baba yake bila kujua sababu au chanzo cha ugomvi wao.
 
Duh! Sawa mkuu :-(

Ukibahatika kuishi US or UK for sometime before kurudi bongo.... uta meet different people from different ethnic groups like afro-carribean, west africans, jamaicans, hispanic, haitians its normal to speak pidgin english.

Ni english flan ya mtaani (informal) / Pidgin derived from English itself. Same tukiwa humu. Hatuko kwenye mkutano wa board mpaka tuongee formal english. Umeelewa ??

Thank You.
 
Too bad hawajaachana tunaishi nyumba moja no communication ..na mama yangu anaendelea kuishi akiamini kuna siku mmbo yatakaa vizuri huku akituhimiza kusoma na kumjua mungu vilivyo
 
Ukibahatika kuishi US or UK for sometime before kurudi bongo.... uta meet different people from different ethnic groups like afro-carribean, west africans, jamaicans, hispanic, haitians its normal to speak pidgin english.

Ni english flan ya mtaani (informal) / Pidgin derived from English itself. Same tukiwa humu. Hatuko kwenye mkutano wa board mpaka tuongee formal english. Umeelewa ??

Thank You.

Eti 'ukibahatika' watanzania bado tupo deluded kumbe, tunafikiri kuishi UK na US ni bahati...binafsi sitaki bahati yako ya kuishi huko. I'm happy where I am.

Endelea kuchapia unaita 'slang' na 'pidgin'
 
Mhhh.... mbona naanza kuwa na mashaka na ulichokiandika?!inaonekana kuna rlements nyingi za chuki dhidi ya baba yenu ambayo mmepandikizwa na mama yenu. Kama mnaishi nyumba moja ina maana hata na nyie watoto hamuongei na baba yenu, hata salaam!?Nyie ugomvi wao unawahusu vipi?Acheni kuingilia ugomvi usiowahusu, kaeni na baba yenu na mjenge urafiki nae. Msikubali kila neno mnaloaminishwa na mama yenu bila kuthibitisha toka kwa muhusika
 
Khaa!! Pigana bana upate hiyo pesa umalize chuo. Dume kulialia siyo mambo. Mbona hapa mjini michongo kibao tu. Halafu dogo hizi issue za mama na baba usijifanye unazimaind sana huwa zina mambo makubwa ndani. Ukikwama kabisa niPM nikupe ramani kama nitakuwa nayo
 
Mlaumu mama yako kwa kuingilia ndoa ya mwanamke mwenzie hadi kuwazaeni nyinyi. mnaumia sababu ya dhambi ya mama yenu.

kama huna cha kujibu si unyamaze,,jibu gn hlo la kumjibu mtu alie katika matatzo na una uhakika gani kama ndoa ya mama haikua halali mpka useme kaingilia??kua na heshima na mama za watu na wako ataheshimiwa
 
Eti 'ukibahatika' watanzania bado tupo deluded kumbe, tunafikiri kuishi UK na US ni bahati...binafsi sitaki bahati yako ya kuishi huko. I'm happy where I am.

Endelea kuchapia unaita 'slang' na 'pidgin'

Nlienda kwa sababu na gharama zangu then nikarudi. Kwan nani hajui tofauti ya slang na pidgin ??

Nlikua nakutanua ubongo and that uone ni vitu vya kawaida.
E.g.
--> I been der before = I have been there before.
--> F*ck outta here = Get the f*ck out of here.

Watu mnaletwa mjini kwa mbio za mwenge, Basi shida sanaa. Hayo mambo hatujaanza leo bwana mdogo. Heb kalale kesho shule. Alaa.
 
Nlienda kwa sababu na gharama zangu then nikarudi. Kwan nani hajui tofauti ya slang na pidgin ??

Nlikua nakutanua ubongo and that uone ni vitu vya kawaida.
E.g.
--> I been der before = I have been there before.
--> F*ck outta here = Get the f*ck out of here.

Hayo mambo hatujaanza leo bwana mdogo. Heb kalale kesho shule. Alaa.

I thought ungetoa mfano wa kuonyesha

"good....than" ni slang au pidgin

Naona unatoa irrelevant examples za kuonyesha jinsi ulivyo limbukeni. On addition, tunashukuru kwa kutufahamisha ulienda US and/or UK.
 
Kula kulala ww. Utajua nini. Kaa nyumbani umsaidie dada kuosha vyombo. #ImOut .
 
Habari Jf,

Naandika hapa mpaka nasikia kufa.

Nimezaliwa katika familia ya watoto watatu kwa mama yangu ingawa baba ana familia nyingine so my mom ni kama mke mdogo.

Toka nakua familia yangu haikua katika maelewano mazuri ( matatizo ya mitara).

Baba yangu alikua mtu anayejiweza (ameshastaafu).

Alikua Muhandisi wa mkoa enzi hizo kwa hiyo tulikua tunaishi kawaida mama yangu pia ni mtumishi wa Serikali.

Lakini katika makuzi yetu baba yetu hakua responsible kabisa kuhusu sisi.

Mama yetu yeye ndo alijua kula yeti,vaa yetu,na elimu pia alijitahid kadri ya uwezo wake tusome mpaka tukafika chuo.

Dada yetu mkubwa kamaliza chuo mimi ndo namalizia mwaka wa tatu.

Baba yangu toka nianze kusoma hajawai kunilipia even a single sent japo uwezo alikua nao na anao.

Kwasababu amepata mafao yake (story ni ndefu nikiandika maisha na vimbwanga vya familia yetu ni kitabu kabisa).

To cut the story hivi mimi nipo mwaka wa mwisho chuoni najiandaa na University exams.

Jumatatu sasa katika kuclear nikajikuta nadaiwa basi nikampigia mama yangu simu kumuelezea hali halisi kasema hana pesa.

Basi katika kuhangaika ikabidi nimpigie baba yangu yani kanikatalia katakata.

Nimejikuta nalia sijui cha kufanya mpaka najiuliza kama tulizaliwa kimakosa au vip.

Eeeh mungu nisaidie uniondolee roho ya kisasi dhidi ya mzee wangu.

NB: Nashindwa cha kufanya kuhusu huyu mzazi wangu.

Dah! Inasikitisha.... kwa kweli pole sana
 
Eti 'ukibahatika' watanzania bado tupo deluded kumbe, tunafikiri kuishi UK na US ni bahati...binafsi sitaki bahati yako ya kuishi huko. I'm happy where I am.

Endelea kuchapia unaita 'slang' na 'pidgin'
Malumbano ya nini!!? Dawa hii hapa.
 
Attachments

  • 1437965230144.jpg
    1437965230144.jpg
    20.7 KB · Views: 156
Asante mumy though ni ngumu kwa sababu hata nikimaliza chuo ntamkuta nyumbani kajaa tele sina kimbilio

Then youhave choice ya kumkubali au kumkataa kushiriki kwenye maisha yako.
 
Back
Top Bottom