Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

Pole sana nadhani bado hujanielewa! Hawezi kuwaambia mjenge chuki lkn lazima kuna mambo anayofanya ili aonekane yeye ni mama mwenye upendo zaidi kuliko baba yenu. Natamani ungekuwa karibu tuongee nikupe na baadhi ya vitabu usome ili ujue nnachokueleza ni ndicho kilichopo ktk familia yenu.soma mfano kidogo hapo nilipom-quote Senior Boss

Haya asante kwa ushaur mkuu ubarikiwe
 
Last edited by a moderator:
Sio kweli kaka sisi watoto tunajitahid I kua karibu name baba yetu lakini ugomvi wake na mama katuchukia mpaka sisi

Omba sana Mungu maana mama yako aliingilia ndoa ya mwenzake hatuwezi jua mwenzake aliumia vipi so omba Mungu awasamehe na awafungulie milango ya baraka .Wazazi wenu muwaheshimu bila kuwabagua.
 
Sio kweli kaka sisi watoto tunajitahid I kua karibu name baba yetu lakini ugomvi wake na mama katuchukia mpaka sisi

Mmmh kama kawachukia hadi nyie hapo kuna jambo zito si bure aisee, usikute anahisi nyie si damu yake alibambikwa, am just thinking loud!!
 
Ukizaliwa katika familia ambayo unasema 'kwa bab tuko wanne sijui,na kwa mama tuko watatu'
ujue kazi kubwa ipo hapo

Majority ya familia hizo huwa na maugomvi na migogoro isiyokwisha

Ni bahati mno ukijikuta mmezaliwa watoto wote baba mmoja na mma mmoja

yanayokukuta wewe ni madogo kuna watu yamewakuta makubwa kuliko yako
kuna kushikana uchawi na watoto wa baba mmoja au mmama moja kutozungumza
wala kusalimiana

Mkuu si lazima iwe hivyo. Babu yangu alikua na mitala na wajukuu wote hadi leo ni kitu kimoja maana wazazi pia walikua wamoja sana hadi leo.

Bifu ni za kawaida sana. Kuna familia hazina mitala jirani zetu ila tuna umoja na upendo mara mia yao!!

But humohumo, tuna dingi yetu flani nae ana wake wengi. Ila huyo wa mwisho aliwafanya watoto wakosane kwa kupandanisha taratibu za mirathi. Sasa wajukuu kwa umoja tumewekana sawa 'madogo' wameelewana.

Hakuna generalisation mkuu. Kumradhi kujitolea mfano ila nimeona niwe shuhuda si lazima mitala kuleta mifarakano. Asante.
 
kanana23, usikufuru. Una hali nzuri sana. Kila mtu akiongelea magumu yake hutaamini. Tafuta kibarua, pata ada maliza chuo mengine mbele ya safari.

Hakuna laana hata chembe kwenye uliyoongelea.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna chuo ambacho hawajafanya mtihani wa ue hadi leo?
 
Ebu nenda prep huko kajiandaye na mtihani acha upuuzi wako. Utakuwa mtoto wa mama sana wewe na anayekuaribu ni huyo mama yako.

Hizi ni kauli zao hawa madingi. Huwa wanapenda kukimbia tatixo kwa kumshtumu mama.
 
Omba sana Mungu maana mama yako aliingilia ndoa ya mwenzake hatuwezi jua mwenzake aliumia vipi so omba Mungu awasamehe na awafungulie milango ya baraka .Wazazi wenu muwaheshimu bila kuwabagua.

Ameen mkuu
 
Hiyo pia naona kawaida maana kuna familia nyingine mmezaliwa gumbo moja lakini kulogana na kuchukiana ni kitu chakawaida sasa bora Muwe mama mbalimbali hata utasema ndio sababu, familia nyingi hazijaka vizuri, kama ukikuta familia yenu uko smart mshukuru Mungu

Familia nyingi za kiafrika ni Majanga sijui huko kwa wenzetu kwa wazungu. Miafrika ndivyo tulivyo cc: Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Kinachoonekana ktk hii familia mama ni mbinafsi na alitaka wawe na mvutano na mzazi mwenzie wa kuwaonyesha watoto yeye ana mapenzi zaidi kuliko baba yao. Mfano;mtoto akienda kwa baba kuomba hela ya matumizi shuleni,baba akimpa elfu 5,mama anamuuliza mtoto baba yako amekupa sh.ngapi!!? Mtoto akisema elfu 5 mama anamlalamikia mume wake mbele ya mtoto! Lkn akimpa yeye sh.elfu moja atasema;nimekupa fedha yote niliyokuwa nayo na huu ni upendo wa mama! Yaani nakuambia ukweli mkuu Senior Boss huyu baba anayesemwa vibaya hapa,ukipata maelezo yake utakuta ni moja ya wanaume bora kabisa hapa tanzania.

Exactly.
 
Last edited by a moderator:
usiwe na roho ya kisasii imeandikwa kisas ni juu ya Bwana Mungu sio juu yako..wewe sali sana mshike Mungu sana maisha yako na yangu yanafanana kias flan lakin mtegee Mungu kijana na sio kwa juu juu mtegemee omba kwa bidii mueleze kila kitu chako...ungekua una soma bible vizur ungepata faraja usingekuja kuuliza hapaa..maana Mungu amesema mtwike yeye mambo yako sasa huku jf hakuna msaada kama wa Mungu
 
Mara nyingi familia za Kiafrika zinaishi kama wanyama waitwao simba maana mama ndiyo huchukua jukumu LA familia.lakini wakati mwingine wamama huchangia wababa kuchukia Watoto wao
 
Ni jambo la kushukuru kuwa mna responsible mama anayepambana kuhakikisha mnapata elimu.
Cha kusikitisha ni kuwa nyie watoto hamjiongezi,mpaka mwaka wa tatu Naona hata nauli unaomba kwa mama.
 
Ni jambo la kushukuru kuwa mna responsible mama anayepambana kuhakikisha mnapata elimu.
Cha kusikitisha ni kuwa nyie watoto hamjiongezi,mpaka mwaka wa tatu Naona hata nauli unaomba kwa mama.

Asante mkuu kwa ushauri
 
Sawa baba mungu akubariki hopefully wewe ni malaika

Una busara..wengine humu ni wavuta bangi..
lakini wengi wamepitia matatizo kama yako ata zaidi.. usimtegemee baba ameshakutosa..yanini kumpigia simu..anagaika kama uile hayupo.. shirikiana na mama ikbidi uzeni baadhi ya vitu mmalizie ada au fanya kazi upate ada..achananae huyo baba
 
Back
Top Bottom