According to taarifa zinasombaa mtandaoni, asset ya maana Ruge aliyoacha imeuzwa kwa Bil 2 za kitanzania.
Lakini jambo zuri kuliko yote, wanufaika wa mgao hao ni watoto 6 wa Marehemu tu. Kazi kwa mama zao kuwasimamia watoto wafaidi urithi wa baba yao kama WANA AKILI TIMAMU. Maana baba kajua kuwatunza wanae kutoka kaburini, sio kama wanaume wanazaa kama panya na kutunza watoto hawatunzi tena wakiwa hai na vijisababu kibao ati amejibebesha mimba.
Maana sehemu ya pesa hiyo ikiingizwa UTT au government bonds watoto wanasoma mpaka chuo kikuu bila shida.
MY TAKE: Kuna Wimbi kubwa kwa ndugu wa mume kuwa na nongwa kweli na mali za marehemu, wengi huwa hawajahusika hata kuzitafuta. Mke na watoto unajikuta umebaki unahangaika kama vile hukuachiwa chochote.
Hii familia ni ya kupongezwa na Mungu awabariki kwa mioyo yao isiyo na tamaa. Kazi kwao wasimamia mirathi.
Na wewe mwanaume kama upo hai na unashindwa kutunza wanao/mwanao kwa uwezo wako uliobarikiwa, jua wewe ni mbwa koko tu maana dunia imeendelea hakuna mama mwenye uwezo wa kumzuia baba kutunza mwanae baba akiwa na nia.
Joke: Wale ambao mnazaa na watu wakifa wanawaachia magonjwa, msururu wa watoto wa nje na madeni juu poleni 😄 🤣 😂 😆 THE LORD IS YOUR SHEPHERD