Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Familia ya NEEMA inaendelea kusisitiza, Nurse Kwa mara ya Kwanza alimletea NEEMA mtoto akiwa kwenye Kanga nyingine ( Hapa Mtoto anaweza kua alikua ndie ila tu Kanga zilichanganywa).
Baada ya NEEMA kuhoji Kanga si zake, mtoto huyu Ndani ya kanga zisizo za NEEMA, akarudishwa Kwa Mzazi mwingine aitwaye Mariam Binti wa Miaka 18.
Kisha Mtoto aliyekua Kapewa Binti Mariam, ndio akaletwa Kwa NEEMA sasa akiwa Ndani ya Kanga za Neema.
Inasemekana, Binti Mariam mwenyewe anasema baada ya Kujifungua aliambiwa kua Mtoto wake ana shida za Upumuaji !!.
View: https://youtu.be/mZksznhQXXg?si=ufwtgOowAFhH7wfn
Kilichotokea katika Sakata hili ni sawa na CCM dhidi ya No Reforms No Elections.
Kwamba DNA Iseme mtoto wa Marehem kweli sio wa NEEMA?. Ili Jamii ianze kua na mashaka na kuleta mtafaruku?.
CHADEMA IMSAIDIE HUYU NEEMA, DNA irudiwe Upya Nje ya Nchi !! .