Mafanikio ni swala ambalo liko subjective sana so test yako ya mafanikio haiwezi kuwa sawa na ya mtu mwingine kwahiyo swala la chanzo kimoja au vyanzo vingi halina mantiki kwa watu wote.kiufupi huezi fanikiwa karibuni wabishi
Mbona kama unatufokea mkuu🤔kiufupi huezi fanikiwa karibuni wabishi
Hicho hicho kimoja, ila ukidakwa mali ganyanja..Kwani wauza unga wana vyanzo vingapi?
Unaweza kudakwa Kwa kuchelewa au usidakwe kabisaHicho hicho kimoja, ila ukidakwa mali ganyanja..