Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

Nilitazamia kusema kuwa peleka familia yako kwa mama ako kwa wazaz wako Kama wako kwa muda tu ili wee Kama wew upambane kisawasawa

Pole San kwa hayo unayoyapotia
 
Ondoka dodoma boss ,maisha ya Dom ni magumu kuliko mkoa mwingine wowote ,mwombe mama watoto aende kwao kwa muda
Asante kwa ushauri,nachukua mawazo then nayafanyia kazi, ni kweli kuna Mikoa kama Mbeya na Morogoro,kutokana na Mazao ya Kilimo kuzalishwa kwa kwingi huko,upatikanaji wa chakula pia mzuri,lkn inatakiwa niwe na plan kama naenda huko nijue naenda fanya nini haswa!
 
Umlete tu huyu Madame,naweza hata umconnect na wife akaongea naye kama wadhani mie ni tapeli,tena uzuri naishi karibu kabisa na kituo Kikuu cha Police Dom,kama anaijua shule ya Msingi amani au kanisa la Roma tuko maeneo hayo,na Asubuhi retired OCD alikuwa hapa kituoni kanipigia ameona hii post yangu na nimemuelekeza nilipo kasema anapajua vzuri kabisa,mlete huyo MadaeB kama wadhani mie ni Tapeli kaka!
Acha kumjibu huyu jamaa unapoteza nguvu zako bure. Aliyeshiba hamjui mwenye njaa
 
Nilitazamia kusema kuwa peleka familia yako kwa mama ako kwa wazaz wako Kama wako kwa muda tu ili wee Kama wew upambane kisawasawa

Pole San kwa hayo unayoyapotia
Bahati mbaya wote washatangulia mbele ya haki
Nilitazamia kusema kuwa peleka familia yako kwa mama ako kwa wazaz wako Kama wako kwa muda tu ili wee Kama wew upambane kisawasawa

Pole San kwa hayo unayoyapotia
 
Asante ndugu kwa wazo hilo zuri,nitaenda kweli Mpunguzi,nina wadau niliwahi jaribu fanya nao biashara ya nyanya wapo kule,Jirani hapa ana account ya ya CRDB ila yupo kazini kwa sasa,na je mfano nikikupa namba ya wakala wa CRDB inafaa au?alafu kama unapeleka nchi jirani,jaribu pia kucheki na Rwanda,niliwahi kukaa kule wananunua sana matunda,mchele,karanga na bidhaa nyingi toka huku,japo issue ya Corona imeingilia kati,kesho asubuhi naomba niamkie Mpunguzi!
Wakala labda atoe akaunti Ila sio Ile namba ya wakala .akikubalia nitume hela kwa akaunti yake sawa.
Mana kwa nji ya kawaida iyk Kuna makato pia.
Mie hata sh kumi yangu huwa naithamini Sana.ikija kwako Bora utaitumia wewe.
Mwambie kuwa nitamtumia na buku lake Ila kwa njia ya kawaida ya namba ya wakala makato sio ya kitoto mkuu
 
Sawa nitakujuza,samahani kama kuna uwezekano uka ni PM namba yako,tutawasiliana zaid hasa kuhusu hyo biashara!
 
mgeni wa wanawake wewe, subiri kabla ya dunia kukufunza watakufunza wanawake........
Wanifunze mara ngapi wakati mie sasa nikuwapelekea moto na kuwatupa kule huku nikisaka mbususu mupya. Siwezi weka mwanamke ndani mie....nikukaribisha stress tuu. Wee namgegede mara tatu yatosha uzuri wake utakuwa ulishafifia machoni mwangu
 
Mara nyingi wasio na uwezo wa kusidia huwa na mdomo sana, kuna wakati mwingine msaidie mtu kwa kile unachoweza kama uwezo bora kukaa kimya, kumuta mtu tapeli bila kuwa na evidence ni kuchuma dhambi bure.
Wait a minute, nadhani nilijaribu kumsaidia kwa kumtafutia kazi maana nilijua mtu anayehitaji mtaalam kama yeye anavyodai. Unajua what happened? Tusiwe watu wa kukurupuka na kutetea kama huyo aliyeniita mjinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom