Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

Asano eeh. Nasemaje pole sana hali sio hali, kama hivi wamekusave fresh kamanda maisha magumu tunapeana tano tunasonga 🤜🤛👊
 
Sasa mkuu na sie wenye account za Crdb hatuwezeshani maana account zipo 0.00 , mpaka ya kufungulia ten haimo😅tuwezeshane
Aah ndugu yangu bado napumulia machine,hapa nimekaliwa kooni issue ya kodi yani acha tu ndugu!
 
Asano eeh. Nasemaje pole sana hali sio hali, kama hivi wamekusave fresh kamanda maisha magumu tunapeana tano tunasonga 🤜🤛👊
Bado sijawa saved ndugu yangu, issue kuu kwangu ni kupata kazi/kibarua,bado!
 
Hapa JF ni mengi yametupata. Unampeleka mtu kwa mnaoheshimiana unakuta ni mbabaishaji au ni tapeli. Kabla ya kukubali kirahisi ukatapeliwa ni bora kujiridhisha. Unajua ukimuudhi mtu ndipo unamjua. Mfano akina kibatala wakiwa mahakamani utasiki, wewe si ni kikojozi, unahamaki - hapo ndipo ukweli unautoa. Tunafaa kuwa waangalifu maana unaambiwa kosa si kosa ila kurudia kosa. Nadhani angalau wenye akili za kiutu uzima wamenipata.
Wewe lazima ni mimba yako ilipatikana kwenye pagale
 
  • Thanks
Reactions: THT
Mh! Maneno mengi huwa yanapotosha kijana! Endelea tu
we nae ka fala, umemtuhumu kua ni tapeli, na kakujibu ili kuweka record sawa, then now you are telling him this?!! are you fckng serious dude? ulitaka akwambie maneno mawili? nyie ndo watu wenye roho mbaya sana, mtu akiomba msaada mnahisi wote ni wezi ama matapeli. Hiyo ni roho ya kwanini, roho chafu sana, and ut always hunt you and your family usipojitahidi kuiondoa, God says upendo ndio nguzo,.ni sawa kujiuliza maswali na kujiridhisha, but you sound soooo ridicurious kwa jinsi unavomjudge mtoa mada. Jirekebishe mkuu, ni hayo tu.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Mkuu uko very lazy kufikiria out of the box. Laptop yako ndio silaha yako, anyways atleast ungejishikiza kufundisha tuitions, ukafanya freelancing e.t.c.

You're to blame for whatever your going through na before you start backlashes nmepitia worse situation than you ila i used my head more efficiently.
Here another one, eeeh God help some people, watu mnaonaga mambo ni rahisi saaana yani, ukipitia thread za.nyuma za mtoa mada, utaona alishajaribu mambo mengi mpaka hiyo idea yako ya tution, hivi huwa madhani ni rahisi kupata students? tena Dodoma?

Not only that, is always very hard kama mtu hujui hata next few hours utakula nini ku think properly, now even.mzunguko wa pesa ni mbovu, sio rahisi kuanzisha anything na uexpect isort mambo yako instantly, which makes it hard kwa mtu fukala kuanzisha anything nice bila support.

Aki msichukulie vitu rahisi rahisi kama watoto wadogo. Kujifanya wajuaji

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Nenda sgr kule Acha kulalamika hapa kama bint
Naona umemuandalia mtoa mada position huko SGR, hivi una habari watu wengi wanataka hata nafasi ya kubeba zege tu kwenye huo mradi na nafasi zimejaa wanakosa? hivi huwa mnafikilia kwanza before mtoe ushauri au huwa mnalopoka tu? kuna kazi zamani zilionekana mtu akienda tu anapata faster but let me remind you, those days zimepita, thats why hata kupata nafasi kuuza chini vitu kaliakoo ilikua hadi connection tena unapangishwa. Bila pesa hupati. Wacha kumwambia analalamika kama binti, hujakutana na msoto wewe, utalia mbona, omba yasikukute cas sometimes Mungu hukuletea the same challenge ili aone kama utaapply ushauri wako. Be careful

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Hukuongea na mimi bali jamaa yangu na nasikia na kazi umepata au siyo?
Sijasema nimeongea na wewe,nimesema tushaliongea limeisha!kuhusu kazi kasema ataongea nawe then atanijulisha,ila details za kazi husika yes tushaziongea!
Achana na kazi ya huyu jamaa, kazi ya kumpigiapigia magoti, Nigga anapenda kupigiwa magoti piga Brock yeye na jamaa yake.
 
Habarini ndugu,nashukuru sana kwa sapoti zenu,kiukweli siwez kumtaja mmoja mmoja,wengine mnanisaidia hata sijui ni nina,ila kiujumla nasema asantee,samahani sikuwa hewani huku kwetu tangu asubuhi hatukuwa na umeme,ndio umerudi sasa!
 
leta mrejesho...

Umepata kazi au umepata huo mtaji kidogo uliokuwa unahita?
je kuna tofauti gani kati ya juzi, jana na leo
 
leta mrejesho...

Umepata kazi au umepata huo mtaji kidogo uliokuwa unahita?
je kuna tofauti gani kati ya juzi, jana na leo
Asante kwa ushirikiano wenu wana JF hasa kipindi hiki kigumu cha January , kiukweli kuna utofauti mkubwa kati ya juzi,jana na leo!kuhusu kazi naomba tuliweke pending kdogo hadi jmosi nitakuja kutoa mrejesho kamili!na kuhusu mtaji kilichopatikana kdogo kesho naanza kulangua tena maziwa,jana na leo nilikuwa nafuatilia upatikanaji wa maziwa sehem nilizokuwa nachukua awali!supplier wapo wengi lkn wengi wanaweka sana maji,mie wateja wangu niliwazoesha mazuri ya kienyeji na hayana maji kabisaa yan full cream.Nikianza kazi hii business ya maziwa atasimamia wife na supplier washakubali kuyafikisha had gengeni kwetu.
 
safi kijana hayo ndio mambo...
binadamu bado wapo duniani but tupo pamoja mkuu anytime usiogope kutushirikisha mdogomdogo,

mungu akutangulie
 
safi kijana hayo ndio mambo...
binadamu bado wapo duniani but tupo pamoja mkuu anytime usiogope kutushirikisha mdogomdogo,

mungu akutangulie
Kweli kabisaa binadamu wapo na mie nitabaki kuwa shahidi wa hili!Nina ndugu, ambao nimejaribu kuomba sapoti bila mafanikio,lkn kuna watu hata hatujuani wamenisapoti chochote,huo ndio ubinadamu/utu!naamini siku moja nami nitasimama vzuri na mie nije nisaidie wenye uhitaji!!
 
Wanaoropoka kuwa Morogoro au Mbeya ndiyo Kuna Maisha nafuu wanaishi mikoa hiyo au wanabwabwaja tu? Au huko ndiyo ataokota vyakula barabarani au Nyumba za kuishi zipo za bure au? Humu kuna watu wanawaza na kutoa ushauri kwa kutumia mata... Kwa Kweli..

Nimeshuhudia wadau wanatoka Morogoro wanakuja kuanza upya Dodoma..halafu Kuna Mtu yumo humu anasema nenda Morogoro kana kwamba kinachomtoa au alicholikosa Dodoma mikoa hiyo kipo mtaroni..

Shame on wote mliotoa uhauri huo
 
  • Thanks
Reactions: THT
Swali muhimu, mimi nimejiwekea ka akiba kangu mambo ya kiharibika ninaenda nunua boda naingia road
Na boda boda si ni mpaka upate kituo/kijiwe...ukienda kichwa kichwa wanakukimbiza...usidhani fitina zipo huko maofisini tu.

Au la uanzishe chimbo jipya na uwe mvumilivu kwa muda mpaka kijiwe kikomae.
 
Kama huna uhakika wa milo 3 kwa siku na kibaruaau kazi ya uhakika please USIOE

Unatesa watu bure

Msikimbilie kuoa wakati wewe mwe mwenyewe maisha una unga unga .

Pole mleta mada utapata kazi
Kasema alikuwa na ajira akapunguzwa akiwa tayari ana Mke na Mtoto.

Ni kama kupata ajali.
 
Similar Discussions

39 Reactions
Reply
Back
Top Bottom