Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Hapo wajihami. Watu hawatongozi hadharani Bali huchumbia huchumbia na kuvisha Pete hadharani. Mengine yote siri! Mpaka tuone tena.nundu kubwa na baadaye MTU anachomoka ndiyo twajua kumbe!!!!! Sasa labda mwendawazimu atongoze hapa!au jaribu kutongoza wewe uoneshe mfano wengine waige. Kuna mambo ya faragha na hadharani. Kutongoza so hadharani!
Kama huwezi kutongoza hadharani ina maana ni haramu kutongozana. KwaninI kitu cha halali kiwe siri?
 
Kama huwezi kutongoza hadharani ina maana ni haramu kutongozana. KwaninI kitu cha halali kiwe siri?
Wewe sahv kufanya mapenzi na huyo unayemuita mume wako .ni halali ,sio dhambi mbona hamfanyi hadharani??
Vitu vingine haviitaji akili kubwa kuvichanganua ,tangu lini uliona watu wanatongozwa hadharani ,au unataka kuonyesha watu kuwa huku jf unakubalika!

From profile picture to proper future
 
Unaweza kufanya mapenzi ( sex) na mume wako halali hadharani???

From profile picture to proper future
Hakuna mafundisho hayo katika Uislam kama vile hakuna kutongozana kisiri.

Kutongoza kihalali ni kupeleka posa au kutoa kusudio la kuoa kwa maharim zake mwanamke au kwa mwanamke mwenyewe akiwa mbele ya maharim zake.
 
Wewe sahv kufanya mapenzi na huyo unayemuita mume wako .ni halali ,sio dhambi mbona hamfanyi hadharani??
Vitu vingine haviitaji akili kubwa kuvichanganua ,tangu lini uliona watu wanatongozwa hadharani ,au unataka kuonyesha watu kuwa huku jf unakubalika!

From profile picture to proper future
Soma post namba 700, nimekujibu hapo.
 
Kama huwezi kutongoza hadharani ina maana ni haramu kutongozana. KwaninI kitu cha halali kiwe siri?
waoo nimependa hiyo. na kutongoza kuna maana nyingi. lakini si kila kutongoza ni kharam. maana mnapoanza mahusiani si vema kila mtu atakiwa kujua ndio maana ni faragha. lakini mahusiano yanapokuwa ndipo sasa mnamamua kuhalalisha na kuufahamisha ulimwengu. na hasa mahusiono ya kileo. mpaka mnatambulishana kwa wazazi mlishamaliza kila kitu.
1. urafiki, 2, upenzi, 3, uchumba 4. ndoa. mnakuwa marafiki ndio kutongozana kunaanza. mkikubaliana ndio marafiki wa karibu wanaanza kufahamishwa. wakati mwingine hata kama hamjakubaliana bado marafiki watafahamishwa. ndio maana wamekutongoza huko kwa PM sasa unatambia marafiki wa JF kuwa huwataki!! hehe ushanfaham?
 
Back
Top Bottom