FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
- Thread starter
- #641
Hizo sichukuwi mimi, nimetoa namba juu huko ya Kijana mwenzenu anaetafuta maisha Dar kutoka Kigoma.Yaani na uzee wako wote hujakusanya pesa za kutosha bado unaomba..!
Pesa tunapeana sisi wajukuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo anaetaka kunitongoza kwanza atoe sadaka.
kumbe nawe wazipenda